Ni chakula gani mtu anesumbuliwa na gout anapaswa atumie na kipi asitumie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni chakula gani mtu anesumbuliwa na gout anapaswa atumie na kipi asitumie?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kimeo, Mar 10, 2012.

 1. K

  Kimeo Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ndugu zangu naombeni msaada wenu,leo sijalala kabisa nimebanwa na gout usiombee.nimekia nikimeza diclofenac kwa muda mrefu na inanisaidia sana,lakini nadhani kuna aina fulani ya chakula niktumia kina trigger hili tatizo.naombeni ushauri wa kitaalam ni kipi nitumie na kipi nisitumie ili niweze kuondokana na hili tatizo.asanteni
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kula Bamia.Lakn kwa nini usimuone daktari?kama wamegoma nenda hata private serikali imeahidi kulipia watu huko.
   
 3. K

  Kimeo Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Bado hujanipatia jibu muafaka,na sidhani kama mtu anaweza akaishi kwa bamia tu,na pia si kila alie jamiiforum yupo bongo ndugu yangu.wengine yawezekana tupo ufilipino.
   
 4. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  We kiumbe hebu ingia hapa nadhani utafaidika na ushauri kuhusu gout.
   
 5. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,494
  Likes Received: 5,971
  Trophy Points: 280
  epuka nyama especially red meat maana degradation product zake ni uric acid inayosababisha gout hasahasa nyama ya mbuzi, epuka dagaa pia maharage makavu hivi vina purines nyingi ambazo hutokeza uric acid unaweza kula nyama iliyopikwa vizuri na kuondokana na damu(nyama choma) oooh! epuka pia excessive alcohol consumption pia kama unatumia antibiotics zinaweza kutrigger tatizo.
   
 6. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,494
  Likes Received: 5,971
  Trophy Points: 280
  epuka pia organ meat kama maini, moyo etc maana huko damu nyingi hubaki baada ya kuchinja mnyama tumia muscle meat such yaani steak, halafu fish sio zote zina matatizo go and check out.
   
Loading...