Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Kenya makande yao yanaitwa Githeri wanaongeza vikorombwezo mfano viazi ulaya,mboga mboga etc iko vizuri sana
Ni kweli mkuu, niliwahi kwenda kikazi huko Nyeri kwenye hotel moja iitwayo Green Hills (nasikia ni ya Kibaki) nikakutana na hiyo kitu kwenye menu inaitwa Githeri special, ilikuwa safi Sanaa...
 
Makande.
Mboga za majani jamii ya kunde zote.
Ndizi za kupika maliza ufundi wako wote.
Ugali/wali maharage.
Ugali maziwa/mtindi.
mlenda.

Hivyo vyakula hapo juu HATA KAMA SIJALA MWAKA MZIMA SITOKULA.
 
Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.

Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.

Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
wewe kama mimi tu zamani ndizi kwa nyama au samaki tulikuwa tunaita mboga kwa mboga
 
Afunaona watu wanaongea sana wakati ubavu wakukwepa baadhi ya misosi mnayoidis ni midogo. ...mf ugali unaukwepaje bora kande unaeza mwaka ukapita ujala. ..tuache ushabiki usjonatija unaanzaje kuponda chakula ambacho ndio kila siku unakila niujinga
 
Mie nilikuwa sizipendi utotoni lakini ukubwani hmmmm! Uzipatie na utumbo wa mbuzi na kachumbari yenye pilipili kali hmmmmm! Udenda unaanza kunichuruzika kwa kuziwaza lol! Hahahahaha

Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.

Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.

Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
 
Makande.
Mboga za majani jamii ya kunde zote.
Ndizi za kupika maliza ufundi wako wote.
Ugali/wali maharage.
Ugali maziwa/mtindi.
mlenda.

Hivyo vyakula hapo juu HATA KAMA SIJALA MWAKA MZIMA SITOKULA.
Hupendi vitu vingi sana, unapenda vyakula gani?
 
Back
Top Bottom