Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

Mkuu hili suala la uchaguzi wamekuwa wakijificha hapo na nyinyi wafuasi pia; sio kwa Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla.
Andaeni ajenda msiwe wepesi wa kulaumu wakati kazi hamfanyi.
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ila ww kwakuwa umemezeshwa upuuzi ili watoto wako waende choo, ndio unatapika huu ujinga hapa.
 
Nihukumu na kunipinga kwa hoja.
Hatuwezi tukajiunga Jamii Forums wote kwa mara moja na Muda utakao wewe.
Hisia zako hasi haziwezi kuishi kamwe.
Nasema hivi, katafute watoto wenzako mliopata division 0 form IV juzi uwaambie huu utoto.
 
Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ila ww kwakuwa umemezeshwa upuuzi ili watoto wako waende choo, ndio unatapika huu ujinga hapa.
Lissu na Sugu walikiri wazi siku ya kupiga kura kuwa mambo yapo shwari.
Leo unaleta kauli ya tofauti, hamuaminiki.
 
Hauna akili wewe ama mgeni hapa Duniani. RC na DC hawafanyi kazi za CCM
Ni watumishi wa umma, wanateuliwa na Rais na siyo CCM. Ndiyo maana kuna mpinzani ni mkuu wa mikoa.
Wanasimamia utendaji kazi katika maeneo waliyopangiwa; kazi ya Serikali ni kutekeleza ilani ya Chama kilichoshika dola na siyo kukijenga Chama. Chama kina wasimamizi wake
 
Wacha ujinga wewe!!! Uchaguzi ungekuwa ni huru unadhani ni kwanini uchaguzi wa 2020 Mkapa alitaka usimamiwe na Tume huru! Wapuuzi kama wewe ni hasara kubwa sana Taifa.

View attachment 1859711
Alitoa maoni yake kama kiongozi Mstaafu na mtanzania.
Tume ya uchaguzi imekuwa ikifanyiwa mabadiliko ili kwenda na wakati.
 
Nimekuuliza umeshapata cha mchana? Huijui kesho yako hapo ulipo mamako ndio anailisha familia nzima dingi hata haeleweki sijui unapata wapi nguvu ya kuandika utumbo huu! Tafuta kazi kwanza muda haukusubiri
Mkuu mtu kuwasilisha hoja kinzani dhidi ya mtazamo wako sio kwamba anayodhiki.
Ukikua kiakili utaacha huu ujinga.
 
Lissu na Sugu walikiri wazi siku ya kupiga kura kuwa mambo yapo shwari.
Leo unaleta kauli ya tofauti, hamuaminiki.

Ule ushenzi uliofanyika kwenye ule uchaguzi tumeuona kwa macho yetu, au unadhani unaongea na watoto wenzio wasiojua lolote? Huyo Lisu na sugu waliongea mambo mengi kuhusu ushenzi wa huo uchaguzi, au ulisikia hayo yaliyo kufurahisha tu?
 
Acha ujinga wewe!!! Unadhani angesena hayo kama angeiona chaguzi ni huru na za haki!?

Alitoa maoni yake kama kiongozi Mstaafu na mtanzania.
Tume ya uchaguzi imekuwa ikifanyiwa mabadiliko ili kwenda na wakati.
 
Ule ushenzi uliofanyika kwenye ule uchaguzi tumeuona kwa macho yetu, au unadhani unaongea na watoto wenzio wasiojua lolote? Huyo Lisu na sugu waliongea mambo mengi kuhusu ushenzi wa huo uchaguzi, au ulisikia hayo yaliyo kufurahisha tu?
Haya yamejitokeza baada ya kushindwa ila mngeshinda mngekuwa kimya kabisa.
Wale waliowatuma wameshindwa na nyinyi mmeishiwa mbinu.
 
Mkuu taratibu. Kule ulisema zile taasisi zipo kutetea.
Hoja yako ilikuwa ni muflisi; ilani inaandaliwa na Chama kama CCM na inatekelezwa na Serikali kwa kipindi chote cha miaka 5.
Wewe ukasema wale ni CCM, wale ni watumishi wa umma.
Chizi ww haujitambui na haitokuja kutokea ukajitambua haipo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom