Ni CCM tena CHADEMA yapigwa bao mchana kweupe

Narudia tena upumbavu wako mwisho lumumba.
Soma hapa:
Mkapa anatahadharisha kuwa muundo wa tume umekuwa miongoni mwa masuala yanayopigiwa kelele na kupata upinzani mkubwa kutokana na upatikanaji wa viongozi wake.
Anashauri kuwa mamlaka ya nchi inaweza kubaki na mamlaka ya kuteua mwenyekiti wa tume ingawa lazima vyama vya upinzani vishirikishwe kwa uwazi katika suala zima la kuhesabu kura na kutangaza matokeo.
 
Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA wamekuwa wakisahau methali hii ya wahenga na kuwa wahanga katika mengi kwa sababu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikishindana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia kwenye uchaguzi ili waweze kushika dola na masuala mengine ya kichama lakini katika yote CHADEMA imekuwa ikishindwa.

Mnamo tarehe 27/05/2021 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa katika uzinduzi wa operesheni haki jijini Arusha alijipata na kusema "Tunataka tuwaonyeshe CCM namna watu wanaweza kufanya kazi kisayansi. Tutafanya kazi kidigitali. Tunakwenda kutoa kadi mpya za Chama chetu, kadi za kidigitali. Tutakuwa na kadi za aina tano kwenye Chama chetu, utajipanga uwe na kadi ya daraja (level) gani."

Mbowe aliwaaminisha wanachama na wafuasi wa CHADEMA kuwa kazi imeisha na wameshaishinda CCM katika eneo hilo la kidijitali na kusahau kuwa wahenga walisema "Usilolijua ni usiku wa giza" na "Jambo la ukucha halichukuliwi shoka." CCM ilishaanza safari ya usajili wa kadi za kielektroniki kwa wanachama wake tangu mwaka 2018 na kupitia mfumo huo wa usajili mwanachama wa CCM anatambuliwa kwenye mtandao kuanzia shina, tawi, kijiji, kata, wilaya na mkoa anakotokea sambamba na taarifa nyingine muhimu kwa ustawi wa Chama Cha Mapinduzi.

Ndg. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM mnamo tarehe 08/07/2021 akiwa Sumbawanga mkoani Rukwa aliutaarifu umma wa watanzania kuwa CCM itaanza kutoa kadi za kielektroniki kwa wanachama mnamo mwezi wa nane (Agosti) mwaka huu (2021) na Makao Makuu ya CCM kadi hizo zitaanza kutolewa mwezi wa Saba mwishoni (Julai 2021).

CHADEMA imepigwa katika suala la kadi za kielektroniki na bado inapigwa katika suala la programu tumizi za Chama (CCM App Vs CHADEMA Digital), tovuti za vyama, kurasa na akaunti za mitandao ya kijamii.

Watanzania wote wanajua kuwa CCM inaanza na wengine wanafuata. Salamu hizi Freeman Mbowe amezipata kabla hajahamia kwenye lengo namba mbili (2) la CHADEMA SACCOS chini ya operesheni haki.

Siasa ni sanaa na siasa ni sayansi, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Kazi Iendelee.

View attachment 1857183
Hivi kuna mtu mwenye akili anajiunga na ccm Zama hizi
 
Soma hapa:
Mkapa anatahadharisha kuwa muundo wa tume umekuwa miongoni mwa masuala yanayopigiwa kelele na kupata upinzani mkubwa kutokana na upatikanaji wa viongozi wake.
Anashauri kuwa mamlaka ya nchi inaweza kubaki na mamlaka ya kuteua mwenyekiti wa tume ingawa lazima vyama vya upinzani vishirikishwe kwa uwazi katika suala zima la kuhesabu kura na kutangaza matokeo.
 
Hivi kuna mtu mwenye akili anajiunga na ccm Zama hizi
Wapo na ni wengi sana. Propaganda za upinzani hazijengi zaidi ya kutaka kuleta mchafuko kwa kufakananisha Serikali na wananchi, halafu wao wanakimbilia nje ya nchi.
 
CCM Chama imara chenye viongozi wenye uzalendo wa kweli kwa watanzania. Siyo kama wale wanaotaka kushika dola halafu waweke madini na rasilimali za nchi hii rehani.
Dogo soma ama utafeli, hata ukimaliza shule huwezi pata ajira. Kwa akili hizi za kijinga
 
Polepole: Wapinzani Kuweni na Uvumilivu Kushindwa ndo Kawaida Yenu​

Ikiwa imebakia siku moja kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa marudio, Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wake wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amevitaka vyama vya upinzani viwe na uvumilivu kwa kuwa kushindwa ni kawaida yao katika chaguzi.

Polepole ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mdogo wa marudio wa Ubunge na nafasi za udiwani ambao unatarajia kufanyika (kesho) Februari 17. 2018 na kudai sababu kubwa za upinzani kushindwa ni kutokana na wao kuwa wabinafsi.

"Napenda ifahamike kwa herufi kubwa, ni kawaida ya CCM kushinda na tunashinda kwa sababu tumefanya kazi nzuri ya kushughulika na shida za watu na watu wameona, wanatupenda, wanatuheshimu, wanatuthamini na wakati wote wanatupa kura nyingi za kishindo", amesema Polepole.

Pamoja na hayo, Polepole ameendelea kwa kusema "nitoe rai kwa vyama vya upinzani kuwa na uvumilivu kwa sababu ni kawaida yao kushindwa, kutokana na wao hawashughuliki na shida za watu, wamekuwa wabinafsi wanajitizama wao wenyewe, wamekuwa wapinga maendeleo kwa kila jambo jema linalofanywa. Rai yangu unaposhindwa kuwa na uvumilivu".

Kwa upande mwingine, Polepole amesema vyama vya upinzani ni kawaida yao mara zote kupinga ustawi wa watanzania pamoja na kuwa wapingaji wa maendeleo jambo ambalo ndio linawafanya kutoaminika kwa jamii kuwapa kura za ushindi.
 
Soma vizuri hapa.
images (14).jpeg

2515956_ilani_1ne.jpg
 
Wewe ni taahira na Mataahira kama wewe ni hatari kubwa kwa usalama na mshikamano wa Watanzania. Mko radhi kuuwa Watanzania wengi sana ili kung’ang’ania madaraka.

Polepole: Wapinzani Kuweni na Uvumilivu Kushindwa ndo Kawaida Yenu​

Ikiwa imebakia siku moja kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa marudio, Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wake wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amevitaka vyama vya upinzani viwe na uvumilivu kwa kuwa kushindwa ni kawaida yao katika chaguzi.

Polepole ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuelekea uchaguzi mdogo wa marudio wa Ubunge na nafasi za udiwani ambao unatarajia kufanyika (kesho) Februari 17. 2018 na kudai sababu kubwa za upinzani kushindwa ni kutokana na wao kuwa wabinafsi.

"Napenda ifahamike kwa herufi kubwa, ni kawaida ya CCM kushinda na tunashinda kwa sababu tumefanya kazi nzuri ya kushughulika na shida za watu na watu wameona, wanatupenda, wanatuheshimu, wanatuthamini na wakati wote wanatupa kura nyingi za kishindo", amesema Polepole.

Pamoja na hayo, Polepole ameendelea kwa kusema "nitoe rai kwa vyama vya upinzani kuwa na uvumilivu kwa sababu ni kawaida yao kushindwa, kutokana na wao hawashughuliki na shida za watu, wamekuwa wabinafsi wanajitizama wao wenyewe, wamekuwa wapinga maendeleo kwa kila jambo jema linalofanywa. Rai yangu unaposhindwa kuwa na uvumilivu".

Kwa upande mwingine, Polepole amesema vyama vya upinzani ni kawaida yao mara zote kupinga ustawi wa watanzania pamoja na kuwa wapingaji wa maendeleo jambo ambalo ndio linawafanya kutoaminika kwa jamii kuwapa kura za ushindi.
 
42D3FD64-FE66-4C86-83BE-7179E5078773.png

Back
Top Bottom