Uchaguzi 2020 Ni CCM kila kona, Wagombea Vyama vingine wako wapi?

Kwa Tanzania hii bado hatuna vyama vya upinzani tuna wasindikizaji tu
 
Kitu kimoja ambacho unabidi ujue ni kua wapinzani wanafaida kubwa kwenye hii nchi.
Mwisho,CCM sio chama cha Siasa labda kama ujui ilo..CCM ni idara ya dola sasa lazma ujue kua si kazi rahisi.
CCM inaongiza jeshi,tiss,polisi,mahakama,Bunge etc
 
Mkuu usiwe na haraka kila chama kina utaratibu wake. Kama sasahivi unawaona CCM tu Basi jua Utaratibu wao wa kujulikana wagombea ushaanza na Kama huwaoni vyama vingine Basi jua Utaratibu wao haujaanza Ila ukishaanza nao utawaona pia.

Kumbuka hata 2015 Mpaka unamalizika mchakato wa kumpata mgombea urais CCM, UKAWA walikuwa bado Ila mwisho wa siku Walikamilisha utaratibu wakamusimamisha mgombea wao.
Hapa unamaanisha hawa watu hawana wagombea, wanavizia watakaokatwa CCM. Maana ndicho walichofanya 2015.
 
Anasoma gazeti la uhuru na magazeti ya serikali, lakini hana chanzo chochote huru cha habari. Lazima hitimisho lake liwe kwenye kile anacholishwa.

Kwa maneno marahisi yuko ndani ya box. Hata hivyo sisi wapiga kura tunaojitambua tunahitaji tume huru ya uchaguzi, kuliko hilo zoezi chini ya tume isiyo huru ya uchaguzi.
Kamuambie hayo maneno mwamba a.k.a DJ kama hajakulapua makofi au kukupiga na chupa ya faru John. Yaani wenzio wanapanga mikakati ya namna gani watapata ruzuku, wewe unahamasisha watu wasipige kura. Msipopiga kura atapata wapi ruzuku? Wabunge wa Viti Maalum (vipoozeo) watapatikana vp?
 
Huyo DJ atakula jeuri yake. Tukisema tunajitambua ujue tuna uhakika na tusemacho.
 
Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k?

Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au Wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
CCM kila kona kupokea na kutoa rushwa?
 
Utahangaikaje kugombea chama kingine na huku ukijua kuwa unasimamiwa na tume ya uchaguzi ya chama tawala? Utakuwa uenda wazimu kufanya hivyo. Utapoteza nguvu na pesa yako bure.
 
Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k?

Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au Wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
unategemea vipi uone wagombea wa upinzani kama kila siku wewe ni kusoma vijigazeti vya Uhuru, Tanzanite, Jamvi, nk? au kutazama TBC, Clouds, Channel 10, nk?
 
Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au Wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
Hizo sentesi mbili ulizoziandika ni ukweli halisi na uhalisia. Wagombea wengi lazima wajikombe kwa chama tawala ili kujilinda. Angalia mamia ya wasomi walivyojikimbiza chama tawala. Hii ni ishara kwamba hata wale tuliowatuma na kuwaamini wakatuletee maarifa wote wamelalia chama tawala na hakuna anayemfikiria mwananchi wa chini
 
Wewe unawaita wenzio wapuuzi na wajinga halafu unalalamika hawakupendi, unahisi kuna faida yoyote wewe kupendwa na mpuuzi mjinga?
Mkuu pole kwa hasira ila siasa ni kazi na kila mwanasiasa anajaribu kufanya kazi ili aongoze dola. Siasa haihitaji chuki wala matusi

Mbona hauoneshi nilipoonesha kuwalalamikia kwamba hawanipendi?
 
Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k?

Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au Wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
Siasa ya vyama vingi imenyongwa ili kuwanyina raia haki ya kuamua ili kukipa cha tawala na viongozi wake uwezo wa kuwamulia wananchi bila hofu. Wananchi wamegeuzwa misukule ya watawala. Ukiambiwa jumapili ni pilau na jumatatu mihogo mwananchi useme sawa kwasababu viongozi wanamaono. Ujinga wa kiwango cha lami. Haijawahi kutokea binadamu akapata maendeleo kwa staili hii kokote kule. Ukisikia udikiteta ndio huu.
 
Mkuu vyama vya upinzania vina struggle kutafuta wagombea.

Ushahidi, rejea Kauli ya Katibu Mkuu Mnyika aliposema "uwe uliandika barua ya kutoa nia au hukuandika wewe njoo uchukue fomu"

Sasa kulikua na haja gani ya kutia nia kwa barua Kama halikua ni sehemu ya utaratibu wa kuwatambua na kuwachambua wagombea?

CUF wanalia na meno kusagika watu hawapo, mtu akipima maji anaona eeh "maji mazito kuliko damu ya chama"
 
Back
Top Bottom