sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,131
- 4,249
Sio kwamba CCM ni malaika la hasha ni zaidi ya yule.Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k.?
Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja. Kwa nini vyama vya upinzani havivutii wagombea wenye sifa za ufhamu? Je, ni woga wa wagombea na kulazimika kujikomba chama tawala? Au wagombe ndani ya CCM wnaigiza upendo kwa chama kwa sababu zao binafsi?
CCM ni chama dola. Ana dola ndio mwenye pesa na madaraka,pia ndio mwenye uwezo wa kukandamiza au kumpa ulaji.