Ni bora uwe na mpenzi anayetumia pombe/bangi au malaya?

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Za mda huu Wadau

Leo mchana kuna mdada mmoja ambaye ni rafiki yangu wa kawaida pia ni mwanajeshi alikuja kazini kwangu na tukaanza story za hapa na pale.

Baada ya mda tukaanza kubishana kuhusu mahusiano. Maana aliniambia usiku wa leo amepasua simu ya mpenzi wake kwa vile jamaa ana wanawake wengine. Na ukweli jamaa ni mzuri upande huo hajambo ila huwa ni ngumu kumwambia bidada.

Katika mazungumzo akasema alishawahi kuwa na mwanaume mlevi na mvuta mbangi, lakini anadai alikuwa anamshauri ni bora aache ulevi awe malaya(hakuna mwanaume malaya lakini).

Baada ya hapo mimi nikamwambia ni bora mlevi kuliko malaya maana na mimi jimama zangu kwa kweli ni cha pombe hasa. Lakini nimewazoea kwa vile huwa hawanidharau.

Sasa nikamuuliza mumeo umeshajua ni mzee wa totoz na pia ulishawahi kuwa na mlevi, sasa unaona yupi bora.???

Mimi naona bora mlevi kuliko malaya sijui wadau mnasemaje. Ingawa mimi pombe nilishaacha

NAHUJA
 
Pombe upelekea kuchepuka, kuchepuka ni ulka ya mtu. Ogopa Sana mwanamke anaye kunywa pombe mpaka anazima
 
Back
Top Bottom