Ni bora uchezee mapesa yangu,lakini sio Jina langu...

nandembako

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
650
518
Kauli hii iliwahi kusemwa na dr regnard mengi,...sikuelewa kwann aliwaza hicho kitu,kwani alihisi atakuja kufanya mambo yatakayochafua jina lake...waheshimiwa wana JF nisaidie uelewa wenu katika hili,use ur brain!...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,345
4,015
Kauli hii iliwahi kusemwa na dr regnard mengi,...sikuelewa kwann aliwaza hicho kitu,kwani alihisi atakuja kufanya mambo yatakayochafua jina lake...waheshimiwa wana JF nisaidie uelewa wenu katika hili,use ur brain!...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Maana yake iko hivi; MTAJI MASHUBUTI NI WATU, sasa wewe ukiturnish image yake mbele za watu unakuwa unaharibu kila kitu! Hiyo inaaply hata kwako, ni heri mtu akuibie pesa, kuliko apite kila kona akisema nandembako ni shoga, ni mwizi, tena ni mwanga aliyekubuhu!
 
Last edited by a moderator:

nandembako

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
650
518
Hapo nimepata picha kama si video kabisa...basi tunapaswa kulinda jina la Tanzania yetu pia kama sisi ni wazalendo,mgeni akikuuliza 'how is Tanzania' unamjibu we are all doin ok,infact nothin bad...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom