Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge

Kumuogopa Lisu inaweza kuwa inatokana na matatizo aliyoyapata Lisu wakati akitetea Wana Mara na ugomvi wao na wenye migodi ya dhahabu. Lisu inasemekana alikamatwa na kuteswa sana na serikali ya CCM.

Nina imani kuna mtu atakuja kuilezea hii kwa urefu maana hata mie huwa naisoma nusunusu.

Mama Lisu ni dada yake Tundu Lisu na si Mkewe. Muwe wa kweli.
Mkuu nakumbuka Lissu alikuwa mtetezi wa mauaji ya Bulyanhulu..
 
Tundu Lissu anajua ukweli mwingi juu ya wizi wa kule Migodini, mauaji kule migodini na vilevile jamaa anaelewa kila kinachoendelea katika Mikataba ile, kuanzia ile ya Barrick, Buzwagi , North Mara.
kama umewahi kusoma ile report ya madini , Lissu anaUkweli mwingi, na anawatisha sio hao kina JK, NA WAPUUZI WENGINE ANAWATSHA hata wawekezaji wa MADINI, na ninamsihi ajiangalie , maana upo ukweli wa SAKATA LA WENYE MIGODI JUU YA KIFO mbunge wa Tarime....., NI MSOMI, mwenye msimamo usiyoyumba, muelewa kuliko Kikwete, anakipaji cha kujieleza kuliko Masumbuko Lamwai, ni mkali kuliko SLaa, NI MPAMBANAJI WA KARIBA YA STIVE BIKO, na Ken SAROWIWA, na tungoje tuuone moto wake.
 
for me Mboye is the best kuwa kiongozi wa upinzania bungeni........if Mboye will not i prefer Lisu than Zitto
 
Sina imani na kabwe tangu alipokubaliki kuongoza kamati ya bunge kwenye masuala ya nishati na madini huyu jamaa kashuka na siku ile aliposhupalia kuwa serikali inunue mitambo ya dowans nilimwona sijakubaliana naye.Napendekeza kambi ya upinzani iongozwe na Lisu au Mnyika hapo vipi??????????:yield::yield::yield:

hata mimi sina imani kabisa na Zitto, yuko kama Lyatonga Mrema ambaye hakuna ubishi kwamba ni kibaraka wa ccm! Chadema mkimpa Zitto nafasi kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mmeliwa!
 
Turejee kwenye yaliyotokea siku chache baada ya Zitto Kabwe kusimamishwa ubunge alipoleta hoja ya Mkataba wa Buzwagi (Ule wa Karamagi).

Inaelekea wanaouliza ni nani Tundu Lissu baadhi ni wale ambao hawakufuatilia majadiliano wakaishia kuzama kumtizama Zitto magazetini ambaye alipokelewa kishujaa.

Wakati Zitto anaendelea kupokelewa kwenye misafara siku moja kiliendeshwa kipindi kwenye TV sikumbuki ni Channel ipi?
Katika kipindi hicho Tundu Lissu alikuwa anafafanua jinsi bunge lilivyokiuka kanuni zake kumfungia Zitto Kabwe.

Eeh Bwana, Kama ulikikosa kipindi kile basi una haki kabisa ya kutomjua Tundu Lissu. Shule aliyomwaga Tundu Lissu siku hiyo haielezeki.

Mnaosema eti Zitto na Mbowe wana uzoefu bungeni kuliko Tundu Lissu mnajindanganya. Lissu siku ile alitoa shule ambayo kila aliyemsikiliza hakutaka kipindi kimalizike.

Na alitumia kanuni zao za mlemle bungeni yeye akiziita ni msahafu wao wa bungeni. Hivyo kila hoja alikuwa anafungua kanuni zile.

Ningekuwa CCM basi toka siku ile ningemuogopa Tundu Lissu kuliko timu pinzani zilivyomuogopa Pele au Maradona.

Kama kuna mtu ambaye niliamini atachakachuliwa kwa njia yoyote basi ni huyu Tundu Lissu, na sijui wameshindwaje kumzuia asiingie bungeni.

Sishangai Kikwete kusema Tundu Lissu ni hatari kama ambavyo sikushangaa Dr. Slaa mwenyewe alipokiri kwamba yeye hata akikosekana bungeni basi Tundu Lissu ni hatari kuliko yeye (Slaa).

Hayo ndiyo niliyo na uhakika nayo. Lakini pia kuna habari ambayo sina uhakika nayo niliisoma mahala kwa juujuu. Habari hiyo inamhusisha pia Kikwete akijitetea kwamba "Kina Tundu Lissu walinishtaki kwenye TUme ya haki za Binadamu lakini Tume hiyo ikanisafisha".

Kama nilivyosema nayakumbuka hayo maneno ya kwenye red ila sikumbuki mashtaka yenyewe kama ni hayo wengine wnayosema ya mauaji ya migodini au kuna mengine. Anayejua anaweza kutuangaza zaidi.

Nimalizie kwa kusema kuwa binafsi nikipewa kupiga kura moja itakayoamua kwamba mle bungeni aingie Dr.Slaa au Tundu Lissu na hiyo kura yangu ikawa ninapiga kwa kunyoosha mikono ili jamii inione, basi najua jamii itaniona wa ajabu kwa nitakachokifanya lakini mmamuzi yangu ni kwamba nitampigia kura Tundu Lissu kuliko Dr. Salaa.

Nyinyi subirini bunge hili muone, ndiyo maana sina wasiwasi hata waweke spika wa aina gani kazi. Wachague spika yeyote aje akione cha moto.
 
Kiraia ndiyo mbunge wa CCM aliyekuwa anagombea na Mh.Tundu lissu au wewe
mpambe wake ?

Shupaza,

Mimi sio mpambe wa Tundu lisu na wala sio mgombea wa CCM, nilichofanya ni kunukuu kilichoandikwa kwenye gazeti la Mwanahalisi.
 
Kaka pia mi namkubali sana TUNDU LISSU sana
 
Nashauri CHADEMA wamteue Tundu Lisu awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni. Wana:yield: JF Mnaionaje hii Imekaa vema!!!:yield::yield:

nadhani hii itakuwa poa sana kwani mimi binafsi natabiri TUNDU LISU :yield:atakuwa Dr. SLAA mpya bungeni, nadhani ingekuwa busara zaidi kama jamaa angechaguliwa kuwa kiongozi wa Upinzania bungeni
 
nafikiri kabwe anakanyika na kuteleza sio kuanguka na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kufikiri na kuwaza awazavyo! so zitto ni mwanadamu kama walivyo wengine! si jambo la busara kutuhumu tu je hana mema huyu? je hujatambua propaganda polepole hazitokuwa na nafasi mbeleni?
 
Tundu Lissu anajua ukweli mwingi juu ya wizi wa kule Migodini, mauaji kule migodini na vilevile jamaa anaelewa kila kinachoendelea katika Mikataba ile, kuanzia ile ya Barrick, Buzwagi , North Mara.
kama umewahi kusoma ile report ya madini , Lissu anaUkweli mwingi, na anawatisha sio hao kina JK, NA WAPUUZI WENGINE ANAWATSHA hata wawekezaji wa MADINI, na ninamsihi ajiangalie , maana upo ukweli wa SAKATA LA WENYE MIGODI JUU YA KIFO mbunge wa Tarime....., NI MSOMI, mwenye msimamo usiyoyumba, muelewa kuliko Kikwete, anakipaji cha kujieleza kuliko Masumbuko Lamwai, ni mkali kuliko SLaa, NI MPAMBANAJI WA KARIBA YA STIVE BIKO, na Ken SAROWIWA, na tungoje tuuone moto wake.
Du!
Kweli CHADEMA ipo juu!
 
Kama tulimwamini Dr. Slaa, tumwamini Lissu maana Dr, Slaa alishatangaza kuwa mikoba yake yote ya Bungeni anamwachia yeye. Pia ni kinara aliyesimimia kutangazwa kwa mafisadi Mwembeyanga na kuhakikisha kuwa mambo yote yamekaa sawa kisheria ina case worse goes to worse.

Ni Lissu aliyesimamia kesi ya Dr. Slaa iliyofunguliwa na CCM kupinga matokeo ya Ubunge ambayo pia waliweza kushinda katika kesi hiyo.

Safari hii ni moto juu moto chini.

Mbowe naye sasa hivi kawa kijana machachari si kama kipindi kile alikuwa Bungeni ni yeye na peni mfukoni tu bila kusikia michango yake.

Mdee she is a bold stone lady.

N.K.

Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
 
Kama Chenge amesema anagombea nafasi ya uspika ili kuhakikisha hoja binafsi hazipati nafasi bungeni na kusabaisha majeraha kwa watu fulani, je upinzani chini ya Lissu, Halima, Mbowe na Zitto utaweza ku shine kama ilivyokuwa kwenye bunge lililopita?

Utashine tena more than ever. Hoja ikikataliwa bungeni inarudishwa kwa wananchi mchezo kwisha. Yaani speaker wa bunge hata awe nani Upinzani bado watakuwa juu tu. Ngoja ngoma ianze kupigwa uone wataichezaje. Maana ni bora hata CCM wangemwacha Sitta kuliko kumuweka weak speaker. Nina hakika huenda tukaona mabadiliko ya speaker katikati ya bunge kabla ya 2015.
 
ccm wewe ni adui yangu namba moja! uliuza loliondo. mkamuondoa na stan katabalo. mkataka kutulazimishia na kimada wenu hawa ng'umbi eti awe mbunge wangu ubungo! sasa mmeleta ajuza awe rubber stamp pale bungeni. ccm ccm plse ona aibu kabla hujafa kifo cha asili.
 
Nadhani wanahofia ishu ya Uzoefu kwenye maswala ya bunge, zitto ne Mbowe wote walishakaa bungeni kwa miaka 5 ila kila mmoja wao ana matatizo yake mfano
Mbowe: wanasema ni mtu mwenye hasira sana kwa hiyo kuwaunganisha watu especially kambi ya upinzani itakuwa ngumu
Zitto: wanasema ana element za CCM ndani yake hii ni baada ya Mkuu wa Kaya kumteua kwenye ishu ya Madini pia ishu ya Dorwan imemchafua kwa kiasi fulani

Kama Zitto ni Puppet basi 40 yake nae imefika.
 
Mnakumbuka hii kauli?
Kuliko tindu lisu awe mbunge mbunge ni heri dr slaa awe rais wa tanzania
 
Back
Top Bottom