Ni bora Obama ashauriwe kutokuja Tanzania. Nitashangaa iwapo bado atakuja katika hali kama hii!

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Jamani mfikishieni ujumbe Mh Obama kwamba Tanzania inaongozwa na maharamia ya demokrasia na wanachotaka ni kupata uhalali tu katika kufunika dhulma zao!
 
Yametimia mlisema nchi haitatawalika Leo tunaona mabomu kila kukicha kisha tuwape nchi labda ya kisadikika
 
CCM hata mtumie mabavu ya aina gani lakini kuondoka madarakani Kama kufa na binaadamu mtapndoka tu
 
CCM nao wanatumiwa na China kutengeneza hali tete ili Obama asije kuingilia maslahi ya China!! Mfano mzuri ni serial number za bom la juzi na migwanda ya akina Nchemba. Otherwise Mzee wa Monduli kaamua kuonyesha power yake.
 
Jamani mfikishieni ujumbe Mh Obama kwamba Tanzania inaongozwa na maharamia ya demokrasia na wanachotaka ni kupata uhalali tu katika kufunika dhulma zao!

Wewe kijana,mbona haya mambo madogo tu! kwa marekani wao wanaua kwa mamia na hawana na tatizo na marafiki zao kuua, kama wangelichukia mauaji wasingeenda israel
 
Obama anakuja na usalama wake uko na uhakika asilimia 100 kumbuka tu obama halindiwi na kina Kova
Na sajenti mwita ana wale watu wake ambao wanavaa suti kali kuliko ile mkulu aliyopewa na waarabu, mziki wao sasa sio wa kitoto
Point hapa ni kuwa kuna tofauti kati ya C.i.A na TISS
 
Naunga mkono hoja, Obama will be killed in Tanzania. Aache kuja kwani kama polisi wamekula rushwa kuua na kutaka kuwaangamiza viongozi wa CDM (kutegemea kupandishwa cheo kama muuaji kamuhanda) wanaweza kutumiwa na mahasimu wa USA kumuua Obama. Narudia Obama usije futa ziara yako mara moja!!!
 
Inatakiwa aje ajionee mwenyewe "nchi iliyotukuka, nchi iliyojaa amani na utulivu uliopitiliza".

Aje ajionee watawala wa nchi walivyo na kauli za kudumisha amani yetu isipotee.

Aje ajionee serekali iliyoua watu inavyong'ang'ania kutaka kuwazika watu iliowaua.

Huwa najiuliza hivi wale wote waliokufa katika mikutano ya Chadema Serikali iling'ang'ania kuwazika au ni kiherehere walichokipata muda huu?
 
Maoni yako haya shangazi sana ndio imekuwa Malengo ya chadema kuzusha vurugu ili kuharibu taswira ya Tanzania kimataifa. Mkumbuke ghiliba zenu haziwasaidii hata Kidogo. nchi hii kamwe haitaongozwa na shehe au padri mnajisumbia bure. Obama na wakubwa wengine watakuja tu kwa sababu Jk katuposition vizuri kimataifa. Mpondeni tu yeye hajali kwa kuwa anajua akili na hila zenu.
 
Kwahiyo CHADEMA mnawaua watu kwenye mikutano yenu ili Obama asije Tanzania?!
 
CCM hata mtumie mabavu ya aina gani lakini kuondoka madarakani Kama kufa na binaadamu mtapndoka tu

Hofu yangu CCM inapeleka nchi kwenye machafuko zaidi ya Syria. Assad na CCM have one thing in common: both Assad the man and CCM chama wapo tayari kuteketeza nchi ili mradi wabaki madarakani.
 
Me too I wish asiende TZ.. Ukweli ni kwamba Obama atakwenda tu kwa kuwa asured usalama na serikali ya JK kwa sababu kadhia ya mabomu inatokana na mkono wa serikali. Ingekuwa ni kweli. Kuwa kuna sintofahamu basi serikali ya JK ingekuwa ya kwanza kushauri kwamba Obama asiende TZ.
 
Hahaha,,imebidi nicheke sio kwa furaha bali uchungu,,,obama na serikali yake ndo Godfathers na Lord's of war wa maeneo mengi duniani sanasana yenye utajiri wa gesi na mafuta pia huwa anatembelea hayo maeneo bila kujali amani wala nini mfano ni afrighanstan,iraq sembuse tanzania na vibomu vyetu vya machozi na mikono,,,no matter what Obama must come,,tutashuhudia wenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom