Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Jamani mfikishieni ujumbe Mh Obama kwamba Tanzania inaongozwa na maharamia ya demokrasia na wanachotaka ni kupata uhalali tu katika kufunika dhulma zao!

Aje tu aone ''Amani na utulivu''
Jamani mfikishieni ujumbe Mh Obama kwamba Tanzania inaongozwa na maharamia ya demokrasia na wanachotaka ni kupata uhalali tu katika kufunika dhulma zao!
Kwahiyo CHADEMA mnawaua watu kwenye mikutano yenu ili Obama asije Tanzania?!
Ndio kazi yao hiyo,wanajiita makamanda waoga kama kunguru,bomu 1 wengine wamefika kwa wauza kitimoto,
CCM hata mtumie mabavu ya aina gani lakini kuondoka madarakani Kama kufa na binaadamu mtapndoka tu