Ni bora Makonda amekimbia mapema, angesombwa na kimbunga cha bunge la bajeti

mkuuwakaya

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
923
1,272
Kijana Bashite Daudi kwa heshima ya mkuu wa kaya kasoma alama za nyakati . Kaamua kusepa mapema. Hasira za bunge la bajeti mwezi ujao zingeishia kwake, kwani suala la uhakiki wa vyeti lingeonyesha kuwa na double standard.

Ishu ilikua ndogo tu, kuweka vyeti mezani mambo yanaisha. Naye Sizonje anamshauri vibaya. Eti Bashite akimbie upepo upoe. Huu upepo si wa kupoa leo wala kesho labda ahame nchi au abakie raia kama mimi au akanyee debe.
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-04-07-53-41.png
    Screenshot_2017-03-04-07-53-41.png
    38.1 KB · Views: 65
Kijana kwa heshima ya mkuu wa kaya kasoma alama za nyakati mapema. Kaamua kusepa mapema. Hasira za bunge la bajeti mwezi ujao zingeishia kwake, kwani suala la uhakiki wa vyeti lingeonyesha kuwa na double standard. Ishu ilikua ndogo tu, kuweka vyeti mezani mambo yanaisha. Naye Sizonje anamshauri vibaya. Eti akimbie upepo upoe. Huu upepo si wa kupoa leo wala kesho labda ahame nchi au abakie raia kama mimi au akanyee debe.
Ni bora arudi mapema otherwise nafasi ya premier iko kwenye hatihati
 
Hajakimbia, atakua shimo la spika limewasha sasa kalipeleka RSA likakunwe na mtaalam wa vita vya majimaji.
 
Back
Top Bottom