Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

Kabichi sio mboga, ila ni kiungo cha mboga. Sema utamaduni wetu wa lishe ndio tatizo. Hivi ulishawahi kupata utumbo rost iliyochanganywa na viungo kama vyoooteeee, mixer na kabichi kiasi?..........hapo ndio utaamini niliyoyasema kwenye aya ya kwanza hapo juu.
Umesema kweli boss kabichi ni kachumbali tu
 
daaah nimekumbuka kuna jamaa yangu alishawahi kunambia hawezi kula ugali na dagaa(misumali ya bati) hata siku moja.

Mungu fundi bhana, bahati mbaya nyumba yao imeungua na maisha yao yamedrop economically sababu ya ujenzi wa nyumba yao.

maisha anayoishi jamaa nayaelewa mimi anachokula naelewa mimi

wewe naweza kusema unamkufuru Mungu kama huyo jamaa yangu, .....kabichi ni kachumbari tu au sio??

ngoja yakukute mkuu hapo ndio utajua kwanini chips hazina ukoko

This Time Tomorrow
Huyo jamaa yako ni mjinga tu ,Ugali siku zote nakula na dagaa na mnafu ..kwa kifupi ndio chakula changu pendwa haina maana nashindwa kwenda KFC ama Sijui Karambezi
 
Carbage ina umuhimu mkubwa na nafasi yake katika vyakula wala huwezi kuignore kwa namna hiyo. Kwanza ina roughage nyingi ambazo zinafacilitate digestion ya chakula mwilini..vile vile inazuia usipate constipation etc..waone wataalam wa vyakula watakuambia...
 
Mashine ya kukatia laki tatu kabichi yenyewe ni jero tu ?

Kweli mkuu kwa vyuma hivi watu wanakula kabichi kwa sababu ya uchumi wataweza kununua mashine ya kukatia.?
:oops::oops::oops::oops::oops: hii hatari kweli, cha kukatia laki tatu na kabichi yenyewe 500, umenifurahisha sana maana hawa wachina hawko serious maana kwa hiyo bei unaweza kununulia kabichi kwa siku 600 ambayo ni almost miaka miwili ww ndo unanunua cha kukatia!!!
 
Yaani
sasa mkuu ukichemsha kabeji halafu ukiiipua uchanganye na tango patakuwa na sumu hspo
Ulaji wa wakati 1 wa tunda na mboga pia tatizo. Ratiba ya mlo ipo hivi siku ina saa24 unagawa kwa mafungu 3 unapata masaa 8 katka kila fungu.
Fungu la kwanza Ni kazi
Fungu la pili Ni kula
Fungu la tatu Ni kupumzika
Sasa kwenye fungu la kula unaligawa kwa Milo iwe Ni chai chakula Cha mchana maji matunda viburudisho vingine nk
Kuwe na mpishano angalao wa nusu saa Kati ya mlo na mlo au Kati ya kiburudisho na kiburudisho pia Kati ya hivyo na maji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom