Ni bora kula ugali bila mboga kuliko kula na kabichi

LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Messages
4,657
Points
2,000
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2014
4,657 2,000
Aisee wewe kama mimi vile. I hate that s*it duh
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,277
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,277 2,000
Ni kweli KABICHI sio MBOGA lakini kutokupenda kwako mboga za majani kutakugharimu mkuu.ni lini Mara ya mwisho kula mboga za majani?
Zero IQ anaogopa kujikata,maana wengi tunazipenda ila changamoto kuikata japo wauzaji wa maeneo yangu wanakukatia Ukitaka
 
T

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
649
Points
1,000
T

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
649 1,000
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugali kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
watu tunakula ugali na picha ya samaki, sembuse kabichi
 
Mtafiti77

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
785
Points
1,000
Mtafiti77

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
785 1,000
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugali kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.


Mboga safi ni ugali wenyewe tu, yani unasonga ugali mkubwa na kingine kadogo kalaini unafanya ndiyo mboga.Hutokaa uache pishi hilo.
Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,

Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugali kitu kinaenda.

Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?

Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.

Mboga ninayoikubali ni ugali tu.Yani unasonga ugali mbili, mmoja mkubwa mgumu na mwingine mdogodogo mlaini, huu mdogo ndiyo mboga.

Bonge la menu hilo.
 
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
27,642
Points
2,000
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
27,642 2,000
Upishi wa KABICHI ya haraka, haraka, kama hutaki kupoteza muda Jikoni.

Kata kata KABICHI yako kisha ioshe vizuri, kisha ichuje Maji.

Ukimaliza kuichuja, iweke Motoni, katia Vitunguu, Nyanya, Chumvi kwa mbali, nyunyizia Mafuta ya kula kidogo ili itakapokauka isije kugandia kwenye Sufuria/Kikaango.

Kisha funika Sufuria yako/Kikaango chako na endelea na shughuli zako nyingine.

Baada ya dakika chache utasikia inavyoanza kunukia na kuanza kukauka.

Ikishaanza kukauka inanywea na mvuke unakuwa mwingi, cha kufanya anza kuigeuza geuza na kuikaanga.

Kama una cha kuongezea, wakati wa kuikaanga ndio muda muafaka.

Sijawahi kuipika, ila kwa jinsi nilivyoona upishi wa KABICHI ni rahisi sana, na pia hupotezi muda mwingi Jikoni
 
mtu watu

mtu watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
2,133
Points
2,000
mtu watu

mtu watu

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
2,133 2,000
Watu tunakula ugali kwa picha ya samaki sembuse kabichi? Umerogwa!

wakati ukuta.
 
feitty

feitty

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Messages
1,994
Points
2,000
feitty

feitty

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
1,994 2,000
Kabichi ikipashwa tu nakula bila shida.
Hata kama imewekwa nyama ila ipashwe tu kidogo tena isiwekwe nyanya.
Ile inayoiva mpaka inabadilika rangi na kuwa kama nyeupe siiwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
16,587
Points
2,000
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
16,587 2,000
wallah jf sihami nimecheka kama mwehu
Mboga safi ni ugali wenyewe tu, yani unasonga ugali mkubwa na kingine kadogo kalaini unafanya ndiyo mboga.Hutokaa uache pishi hilo.Mboga ninayoikubali ni ugali tu.Yani unasonga ugali mbili, mmoja mkubwa mgumu na mwingine mdogodogo mlaini, huu mdogo ndiyo mboga.

Bonge la menu hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,714
Top