Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,115
- 49,458
Haujui kupikaMkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.
Haujui kupikaMkuu sina mazoea ya kula kwa mama ntilie ata kama nimebanwa na kazi gheto nina jiko ,sufuria na vifaa vyote vya kufanikisha kupika kile ninachoitaji kula kwa siku husika.
Mkuu fanya tukutane tuweke ligi ya kupika.
Na ugari wa dona ni kama unapewa dawa umeze bila maji.
Vyakula vnge tunakula kuokoa roho tu. Ila kuachana na factor za kiuchumi kusema ukweli kabech n baya aseee, m hata lipikweje sifurahii, sema .inategemea limekukuta kwenye hali gan, m mboga za majan ninazopenda kuliko zote n mnavu na tembele
Kikosi cha mizinga kilitua hapo sijui kiliongozwa na nani?View attachment 884648 hata kama hamlipendi kabichi si kumfanyia ivi uyu mkulima
pole boss! nimepiga hii kitu asubuhi kabla sijatoka home na chapati mbili huku nikihatarisha kampeni ya bomoa kitambi na jana usiku nilikula na wali kiduchu kabichi mlima.Hivi ni nani aligundua kwamba kabichi ni Mboga asee,
Mbona tunatesana hivi si ni bora aliyegundua mrenda japo unatereza lakini ni mwake na ugari kitu kinaenda.
Hivi ugali na kabichi kuna ambae anauelewa kweli ?
Tuache tuseme tu ukweli ni bora nile ugali bila mboga kuliko kula ugali na kabichi.
Lakini siyo kwa ugari mkuuKabichi inakaangwa haipikwi kama makande ndio maana huielewi. Pili kabichi inavirutubisho vingi muhimu mwilini na ni kinga ya maradhi mengi hasa saratani mbalimbali. Kwahiyo kula kabichi acha mbwembwe.