Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,860
- 12,291
Habari zenu ndugu zangu. Leo nimekuja na ushauri mzuri kwa mjomba wangu Mbowe ili umsaidie kulinda heshima yake kidogo aliyobaki nayo.
Najua ni ngumu kukuubali ushauri wangu, na ukizingatia ushauri huu ni wa kumnyanganya tonge mdomoni kumpa mtu mungine, ila kama akiuangalia kwa makini ushauri huu atagundua kuwa ni ushauri mzuri na wa kumjenga zaidi.
Kwani ataonekana kuwa yeye anapigania masilahi ya nchi na wananchi kwa ujumla, sio kiti chake, cheo chake au tumbo lake kama inavyofikiriwa na wengi sasa hivi.
Ki ukweli mjomba wetu huyu amekuwa akihusishwa na tuhuma au kashifa mbali mbali ambazo kwa heshima yake sio vizuri kuziandika hapa.
Sasa kutokana na hizo kashifa kuwa nyingi ukijumlisha na haya ma kesi kesi yanayomuandama sasa, ni vizuri akajiuzulu ili kulinda heshima yake aliyobaki nayo sasa.
Akumbuke kuwa kujiuzulu kwake haitokuwa mwisho wa yeye kujijenga zaidi kisiasa akiwa nje ya kiti, maana wapo watu ambao walijiuzulu kwa makosa yasiokuwa ya kweli au yasiokuwa ya kwao na kujizolea umaarufu na heshima zaidi ya zile walizokuwa nazo kabla ya kujiuzulu.
Mfano wa watu hao ni formerly prime minister wa Uingereza Theresa May. Rais mstaafu wa Tanzania na mzee wetu Ally Hassan Mwinyi pia aliwahi kujiuzulu kwa mauaji yaliofanyika bila amri yake, na kwa hivyo ikamjengea heshima na kupelekea kuwa Rais wa nchi mbili. Yan raisi wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo kujizulu kwako kutokana na hizo kashfa mbalimbali zinazokuandama iwe za kweli au za uongo kutakujengea heshima zaidi na kuwa miongoni mwa viongozi waliojiuzulu bila shuruti kutoka kwa mtu yoyote.
Najua wapo wanaoishi kupitia mfuko wako kwa kuandika propaganda za hovyo, na hao hawatakubali ujiuzu ili wafe njaa na familia zao, lkn kumbuka Waswahili wanasema "Muungwana akivuliwa nguo huchutama" kwahiyo kwa vile ushavuliwa nguo na makashifa mbali mbali inabidi tu uchutame. Jumapili njema wazalendo wenzangu.