Ni bidhaa gani hutengenezwa na ndizi?

Jick

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
1,160
1,716
Habarini wakuu.
Katika harakati za kujikomboa kiuchumi ninawaomba tujaribu kujuzana matumizi ya ndizi hasa zile za kupikwa.
Mbali na matumizi ya kawaida kama vile
1. Kupika
2. Kutengeneza mbege
3. Kutengeneza pombe n.k

Ninaomba tujuzane bidhaa zingine mbali na hizo katika harakati za kujiongezea kipato.

Let us be positive and fair.
 
Jam ....kwa ajili ya kupaka kwemye mkate na kuweka kwenye keki
Mkuu unaweza kuelezea ni kwa jinsi gani unaweza kutengeneza hyo jam??
Au site yoyote inayoelezea hyo process.
 
Waghana na Wanigeria wanachemsha green plantains kasha wanaponda kwenye kinu, inatokea ugali unavutika kama ugali wa mhogo, huliwa na mchuzi wa aina yeyote.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom