Ni biashara ipi nzuri kuifanya mazingira ya chuo?

"Nmekupata sasa kwenye tablet hapo n tablet gan hambayo n nzuri jina lake na inaweza kugalim kias gan? Used au new
bongo nyingi zinazopatikana ni Huion, kuna nchi 4 mpaka nchi nane, zinaanzia laki 1 na 20 mpaka laki 3 na nusu mpya. Used unaweza kupata hata kwa elfu 70, kwa kuanzia weka tangazo humu au facebook kua unatafuta drawing tablet used. Inaweza kupatikana hata kwa 50.
 
Biashara nzuri ni ya udalali wa sim na laptop .Nenda mjini tafuta mafundi sim au laptop tengeneza nao mazingira ya uaminifu wawe wanakuamini kiasi cha kukupa sim au laptop mbili tatu ukaenda nazo chuo unawauzia wanafunzi wenzako kwa gharama ya juu kidogo atleast kila bidhaa unaweza pata faida kuanzia 40,000/= na kuendelea.

Enzi zangu wakati npo chuo hiyo ndio ilikuwa biashara yangu ,laptop nlikuwa nachukua pale Gerezani ambapo ss hivi wamejenga stand ya mwendo kasi.

Hapo sikuitaji mtaji ni uaminifu wangu tu mpaka leo wale mafundi wameamia Machinga Complex nikuenda pale napewa laptop mbili naenda kuuza mtaani nawarudishia chao nakata cha juu.
 
Biashara nzuri ni ya udalali wa sim na laptop .Nenda mjini tafuta mafundi sim au laptop tengeneza nao mazingira ya uaminifu wawe wanakuamini kiasi cha kukupa sim au laptop mbili tatu ukaenda nazo chuo unawauzia wanafunzi wenzako kwa gharama ya juu kidogo atleast kila bidhaa unaweza pata faida kuanzia 40,000/= na kuendelea.

Enzi zangu wakati npo chuo hiyo ndio ilikuwa biashara yangu ,laptop nlikuwa nachukua pale Gerezani ambapo ss hivi wamejenga stand ya mwendo kasi.

Hapo sikuitaji mtaji ni uaminifu wangu tu mpaka leo wale mafundi wameamia Machinga Complex nikuenda pale napewa laptop mbili unaenda kuuza mtaani nawarudishia chao nakata cha juu.
AENDE NAZO LAPTOP HOSTEL,
AZIWEKE ROOM PALE MABIBO BLOCK "D",
KISHA MWENYEWE AENDE CAFETERIA KUCHECK MAJI FASTA,
ARUDI AKUTE WAMEFAGIA PC ZOTE,

HAPO ND'O ATAPOANZA KUIMBA MAPAMBIO KWA WALIOMWAMINI KUMPA KOMPYUTA ZAO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SASA WEWE ULIBAHATIKA KUTOIBIWA,

HUYU ATAJICHANGANYA AKAIBIWA,
AKAFUATWA HOSTEL NA RB.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara inafanyika wakati watu washapata BOOM hapo unauza mpk basi ila lazima huwe ume ji advertise ,usiku nilikuwa na bandika matangazo yangu mtu akitaka laptop yeyote namuuzia anakuja room kuchagua kama sina nampeleka kwa wadau kule k/koo nakula mtu kati.
Laptop nakubaliana na jamaa 500,000/= nikifika kule mm na bugain napewa kwa 400,000/= harafu nalia lia kwa mshikaji (mwanafunzi) anipoze hata 20,000/= akinipoza nakuwa na 120,000/=
 
Back
Top Bottom