Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,266
Salaam Sana,
Nimebahatika kupata pikipiki mbali ya kuwa inasaidia familia ikiwemo kufata majani ya ngombe. ila ningependa kuliko ipaki kijiweni niifanyie biashara.
Najua humu mna wajuzi wengi naombeni mawazo yenu biashara nayoweza kufanya kwa kutumia usafri wa bodaboda.
Nipo Dar