Ni biashara gani unaweza kufanya ikawa inakuingizia kipato na huku umeajiriwa

Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,247
2,205
Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi.

Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini.

Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery.

Je, wewe unafanya ishu gani na huku umeajiriwa???
 
Biashara ya sa8 paka sa4 usiku ni Bar kama huko vizur anzisha iyo Bar au Grocery ili jion watu wakitoka kazin tuwe tunakuja kula mtungi, sema hujasema una capital kias gan
 
BIASHARA inategemea Mambo kadhaa. 1 kiwango Cha mtaji.2 Aina ya watu wanaokuzunguka mfano huwez kuuza kitimoto sehem yenye waislam wengi. 3 site ya iliyokaa kibiashara. 4 uwezo wa kuisimamia na kuiendesha. 5 availability of suppliers. 6 demand ya bidhaa ili upate faida . 7 ujuzi . 8 Kama were Ni mwajiriwa angalia namna ya kugawa muda wako wa ziada. Kifupi naona hayo na mengine yatakusaidia kuamua
 
Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi.

Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini.

Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery.

Je, wewe unafanya ishu gani na huku umeajiriwa???
Network marketing piah unaweza kufanya, kikubwa angalia company inahusika na mambo gani.
 
Back
Top Bottom