Ni biashara gani naweza anzisha yenye mtaji mdogo?

girango

Member
Jun 28, 2021
13
5
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
 
Tafuta mkokoteni used kama elfu 40‐60
Mpe kijana auze miwa au machungwa kwa siku hesabu elfu 5 au kitu chochote kinachoendana na hicho inalipa mkuu
 
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
Bro Dm tuchange mawazo.Nipo hapa Tarime
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom