mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,019
- 1,945
Wazo zuli sana
Then its difficult to deliver preaches that you dont practice.Mimi sio mfanyabiashara.
Still hapo umemchagulia...Mjengee 21'Century Passion
Usiwaambie wala kuwafahamisha nini unataka wawe.
Wananunulie Computers alafu wape mafunzo ya Skills mfano Graphics Design, Coding nk level ya Basic unaweza ukawapa mwalimu...Baada ya hapo wawekee machapisho na mafunzo kwenye Storage zao za Computer waendelee kujifunza wenyewe the way muda utavyozidi kwenda UBONGO utajenga Passion ya kupenda Computer watakuwa na interest ya kujifunza zaidi na zaidi ukiona kitu hiko waongezee TASKs zaidi na zaidi wakifikia kuwa level ya TECH MANIA wa-direct kwenye Skills nyengine kama Business, Marketing.
Goal ya kwanza iwe Passion, wakiendelea hivyo nahakika katika 20's yao watakuwa wamefika level za kuongea Deal za Billion mezani na Investors.
Watoto wako wana akili mimi wa kike nilimuuliza akasema eti awe anapika wali akauze shuleni sasa nawaza sijui sababu muda mwingi yupo jikoni au anapenda tu kula
Huyu atakuwa shishi food. Labda atashika tenda za kulisha jeshi mbelen. Mfanye ajue watu wangap wanakula kias gani cha nini kwa muda flanWatoto wako wana akili mimi wa kike nilimuuliza akasema eti awe anapika wali akauze shuleni sasa nawaza sijui sababu muda mwingi yupo jikoni au anapenda tu kula
'Note: mimi sio mfanyabiashara, nimepata hii idea ili kuziba gap nililokuwa nalo kwenye malezi yangu.'Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu.
Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo.
Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili.
Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia mahitaji yao wanayotaka ya ziada.
Nisaidieni ni biashara ipi wanaweza fanya kwa mazingira ya nyumbani?
Note: mimi sio mfanyabiashara, nimepata hii idea ili kuziba gap nililokuwa nalo kwenye malezi yangu.
Hataki wanae wapitie yale aliyoyapitia,anawalea katika misingi ambayo ameamua kuwafanyia njia ya kile alikikosa kukipata kwenye malezi yake'Note: mimi sio mfanyabiashara, nimepata hii idea ili kuziba gap nililokuwa nalo kwenye malezi yangu.'
Hii ina maana gani?
hata mtoto wako ana akili sana,sema wewe hujajua namna gani ya kukiongezea thamani kitu anachokipenda(kupika),Watoto wako wana akili mimi wa kike nilimuuliza akasema eti awe anapika wali akauze shuleni sasa nawaza sijui sababu muda mwingi yupo jikoni au anapenda tu kula
Watoto wako wana akili mimi wa kike nilimuuliza akasema eti awe anapika wali akauze shuleni sasa nawaza sijui sababu muda mwingi yupo jikoni au anapenda tu kula
Respect mkuu, mfano anataka kununua viatu vya shule, begi na vitu kama hivyo unamtafutia mteja anauza mwenyewe mbuzi mmoja, unaenda nae dukani anachagua vitu vyake kulingana na fedha aliyonayo na change anakeep kwenye pig-bank yake…. Akikua huyo hatataka ajira maisha yake yote… tayari anafoundation. Darasa safi sana.Taja kwanza umri wao
Mm wakwangu mapacha me na ke wapo darasa la 5 walipokuwa darasa la 4 niliwauliza kila mmoja anataka kufanya nn
Wakike akaniambaia anataka kufuga kuku nikamnunulia kuku 20 Koo 15 jogoo 5 leo anakuku 90+ wakienyeji
Wakiume alitaka kifuga mbuzi na sungura nikamnunulia majike 5 na dume 1 leo hii ana mbuzi 10 jumla sungura sikumnunulia
Wote wanatokea nyumban
Mpishi anapiga hela kuanzia level za mama ntilie mpaka wa 5stars hotel….jamaa hajasoma gape tu vizuri….. wamiliki wa bar/ pub nyingi wanathamini jiko kuliko counter ya vinywaji.hata mtoto wako ana akili sana,sema wewe hujajua namna gani ya kukiongezea thamani kitu anachokipenda(kupika),
hakuna biashara ya uhakika kama chakula
natamani niwe coach wa huyo mtoto
ili niweze kutimiza ndoto zake za upishi bora.
Ha haaaaaaaaaWatoto wako wana akili mimi wa kike nilimuuliza akasema eti awe anapika wali akauze shuleni sasa nawaza sijui sababu muda mwingi yupo jikoni au anapenda tu kula
Mkuu nimecheka kwanza , lakini si kwamba huyo wa kwako kakosea au anapenda kula sana ila huenda ana kipaji hicho na moyo wake unatamani sana kazi hiyo, hivyo siku ikifika mfungulie tu ki mgahawaWatoto wako wana akili mimi wa kike nilimuuliza akasema eti awe anapika wali akauze shuleni sasa nawaza sijui sababu muda mwingi yupo jikoni au anapenda tu kula