Ni Benki gani Tanzania imejiingiza kwenye siasa? Akaunti za Mbowe zimefungwa na Benki ipi? Kwa sheria ipi?

Yani mnasikitisha kweli, hivi kuna kampeni yeyote mliyowahi kufaulu?

Yani kina Lisu bila aibu wanahimiza msusie voda alafu baadae kidogo mnatoa namba zilezile za voda kwa ajili ya kupokea michango na nyie kwa uzuzu mnashangilia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kitu we kapuku , uliza uongozi wa Voda , ilibakia kidogo iwe kama hayati TTCL
 
Tanzania kuna sheria zinazoilazimu Benki kutoa taarifa za wateja na sheria hizo zinajulikana kwa watu wote hata sisi wa darasa la nne

Sheria hizi ni kama zifuatazo:

Sheria ya kodi yaani Income tax regulation hapa TRA wana uwezo wa kuomba taarifa za mteja Bank
Sheria ya utakatishaji pesa yaani anti money laundering
Sheria ya maadili kwa uma
Sheria ya rushwa

Sasa kwa tukio la Mbowe hiyo Benki inayozuia na kufunga akaunti za Wanachadema waliohukumiwa ni Benki gani?

Ni muhimu hii Bank ikajulikana ili watu tuhamishe pesa zetu, Kama Benki imehama toka kufanya biashara kwa mujibu wa sheria za Bank kuu Tanzania na kujiingiza kwenye siasa bora ikajulikana

Wanabodi kuna baadhi ya Benki wakurugenzi wake kuna mashaka makubwa sana nahisi wanatumika kisiasa

Je Mdee, Mbowe akaunti zao zilizofungwa zipo Benki gani ili tujue na tujiweke mbali na hii Benki

Kwa style hii tutaenda kushuhudia baadhi ya Benki zikianza kupoteza liabilities /Deposits /pesa za wateja wao kwa ujinga mdogo sana

Hiyo Benki isije ikajiona salama sana, Wateja ndio sababu ya Bank kuwepo, Bila wawekaji pesa Benki hakuna

Kujulikana kwa Benki ambazo zimeanza kujiingiza kwenye siasa na kutoa taarifa za wateja ni muhimu watu kuzikwepa ili iwe fundisho

Reputation ya Benki iliyofunga hizo akaunti ikijulikana watakuja Kumbuka pale mdororo wa ukwasi utakapowakumba
Waitaje iyo bank tukatoe pay zetu na kuacha kuitumia
 
Nilichogundua wanasiasa wengi wa upinzani kuna mambo madogo ya kiutaratibu huwa wanapuuzia na mwisho wa siku wanakimbilia “Public sympathy” .

Ni wakati wa kufanya vitu kwa utaratibu na kwa wakati leo hii unaona wadhamini wa Tundu Lissu wanavyohangaika kutaka kujitoa katika kesi yake .

Haya yote yanatukia na Chama kimenyamanza kimya wala hakionekani kufanya hatua zozote mwisho wa siku linatokea la kutokea wanakimbilia kwa Wananchi.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilichogundua wanasiasa wengi wa upinzani kuna mambo madogo ya kiutaratibu huwa wanapuuzia na mwisho wa siku wanakimbilia “Public sympathy” .

Ni wakati wa kufanya vitu kwa utaratibu na kwa wakati leo hii unaona wadhamini wa Tundu Lissu wanavyohangaika kutaka kujitoa katika kesi yake .

Haya yote yanatukia na Chama kimenyamanza kimya wala hakionekani kufanya hatua zozote mwisho wa siku linatokea la kutokea wanakimbilia kwa Wananchi.




Sent from my iPhone using JamiiForums
Wananchi ndio mahakama ya haki Na ndio waamuzi wa mwisho
 
Wananchi ndio mahakama ya haki Na ndio waamuzi wa mwisho[/QUOTE
Kutoka katika hao Wananchi ndio kumepatikana mfumo wa kuongoza jamii husika.
Kwetu hapa Tanzania mfumo wa haki unaamuliwa katika ngazi ya mahakama (mahakama si mali ya mtu binafsi wala kikundi cha watu bali ni mali ya Wananchi) .

Sasa kama mtu au chama kinashindwa kufuata maagizo au taratibu za mahakama iliyopewa nguvu za Wananchi kuhakikisha haki inatekelezwa tatizo lipo kwa nani hapo .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wawe makini wasibambikwe tena huko Segerea Kwa vurugu hizi maana shetani nafsi yake aijaridhika
 
CRDB inamilikiwa na Denmark, NMB mliki wake ni Holland na NBC ni UK through ABSA subsidiary ya Barclays gusa unase mengine mnasema tu huyajui kwa kina

Nilitaka nikutukane...ila nimeona utakua ni kijana mdogo uliejifunza kuhusu shareholding
 
Back
Top Bottom