KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Changa la macho la usajili wa laini ndo huu.
Mtakula indemonii yenu.
Mtakula indemonii yenu.
mkuu umeshachukua hzi hela?hahaha!mpunga huooo!khalaga baho!
Mi pale VodaCom makao makuu ni mchizi wangu nimesoma na O lever enzi ye2 nimemwambia hapo vp akaniambia wala usijaribu Kamanda kwani ni wizi mtupu na akaniambia atanicall anijuze Watanganyika wanavyopeibia balance zao bila kujijua,NA AKINIPA FEEDBACK ntawajuza hakika kwani ziwezi ona mafisadi watupekenyue hivi hivi.
Mkuu tunaomba utujuze fasta ili tusiendelee kuliwa