Ni balance kwenye akaunti ya laki 8 ambazo sijaweka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni balance kwenye akaunti ya laki 8 ambazo sijaweka

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by fige, Nov 15, 2011.

 1. fige

  fige JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina akaunti yeyote inayohusiana na mobile banking,kuna kijana kaniambia bonyeza *150*55# halafu piga kwa mitandao ya voda,tigo,airtell.

  Baada ya kufanya hivyo ikaniambia niingize pin namba, nikaingiza namba ambayo wala sijawahi kuitumia kama pin yenye digit 4.
  Kilichotokea ni salio la kuanzia la laki nane.wazee wa IT hii ni nini?
   
 2. fige

  fige JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cha ajabu sijaulizwa hata akaunti namba
   
 3. fige

  fige JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu wanavumisha ni hela za shimbo zinagawiwa kwa kila Mtanzania
   
 4. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  yah ata uku nimfanya hvo imekuja kama ulvosema lakini apa naoni hii kitu inasema tu iyo ela ipo but i doubt it unaweza ipata.
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mhh...hapa kuna jambo!
   
 6. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Me nimejaribu kama kununua salio kupitia huduma hiyo mbona cjapata ki2 chochote .
   
 7. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,110
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Labda za London? angalia isije ukatumia pesa za msaada za Cameron
   
 8. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  inasema ' A test account for you has been created on mbanking with a strating balnce of 800,000' ukizihamishia mpesa unazivuta kilaaini kila la heri
   
 9. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  hamna lolote aya ngoja tuone coz ukihamisha inasema tu transfer processing! Lakini holla labda nivute subiri. Lakini hamna mtu anayejua au ana full explanation hii ni kitu gan???
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jamani tupe habari kwa kirefu
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  It is only a test,
  how it looks alike
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Tamaa zitawaponza. Hakuna free lunch, unaambiwa upige tu namba utaibiwa elfu 20 yako nmb ubaki unalia!sasa hapo umeshawapa link yako ya mpesa, subiria maumivu
   
 13. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  duh! hii inaweza kuwa kweli!
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,347
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimejaribu imeniletea hiyo laki 8.. M banking.. Itakuwa ni utapeli tu.
   
 15. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,155
  Likes Received: 3,347
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hiyo!
   
 16. fige

  fige JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kwenye simu ambayo huna Mpesa na password ya uongo bado inajibu.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Siku hizi namba ya simu inatumika kumjua jina mtu, physical address pia. Mi mkishapata hizo laki nane ndo mniambie, nikijaribu na kupata majibu kama yenu tutakua tumewafanikisha zoezi lao bila manufaa. Nawangojeeni wakuu
   
 18. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  kaka na mm nimejaribu inaniambia the same sijui ni utapelli wa mjini ,daah ukosefu huu wa ajira ni noma
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Yahooooooooooo! kitu kimehama, nimempigia wife aniazime simu yake anakuja sasa hv, nikifika home simu ya dogo, dada wa kazi, na shemeji yangu hapo nitafikisha karibia3200000 cash! hahahaaa, leo ni bieeeeeeeeeere kwa sanaaaaa, hihhihihihihiiiiii
   
 20. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  zingekuwapo usingesema!
   
Loading...