Ni baada ya muda gani Vyeti vya Form Four hurudishwa Baraza kutokea shuleni?

Chief_mataka

Member
Jan 27, 2022
97
92
Mwenye ujuzi Naomba Anijuze, Ni Baada Ya Muda Gani Vyeti Vya Form IV Vinarudishwa Baraza La Mitihani, Au Vinaendelea Kuwepo Shuleni Siku Zote?

Kuna Ndugu Alimaliza Shule Mwaka 2012 Anataka Kufatilia Ila Ana Mashaka Kama Cheti Chake Bado Kipo Shuleni.
 
Back
Top Bottom