Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,615
Kweli kabisa tukatae huu ujingaZanzibar si kuna ZRB....huku TRA wanakuja kufanya nn?
Kweli kabisa tukatae huu ujingaZanzibar si kuna ZRB....huku TRA wanakuja kufanya nn?
Wenye maslahi nao hawakubali nng'ooo ,wanaangalia maslahi yao tu na vizazi vyaoHuu muungano fake uvunjwe wanatunyonya sn
Mkuu, kuna serikali mbili.Bado kuna tatizo kubwa Tanganyika, angalia teuzi za mabalozi kutoka kwao, makatibu tawala wanatoka zanzibar kuja huku lakini sisi hatuwezi kuwa makatibu tawala huko. Huu muungano haujakaa sawa. Mifano yako ni michache sana na tena kwa jamii yetu huenda hawavijui vitu hivyo.
Mbona faida za muungano huwa wanaziona watawala pekee na siyo wananchi?Wenye maslahi nao hawakubali nng'ooo ,wanaangalia maslahi yao tu na vizazi vyao
Muungano uvunjwe hatuutakiMkuu, kuna serikali mbili.
Mambo yanayoihusisha Tanzania yanahusisha pande zote mbili za Tanzania bara na Zanzibar, sasa cha ajabu ni kipi mabalozi, makatibu tawala, n.k wakitokea Zanzibar???
Mambo yanayoihusu Tanganyika, mfano chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Medical Council of Tanganyika (MCT) yanawahusu Tanganyika, Mzanibari hahusishwi hapa labda iwe special case.
Mambo yanayohusu Zanzibar mfano shirika la kkusanya mapato (ZRB), Shirika la Mpira (ZFF), ZSSF, n.k ni kwa jli ya wazanzibar pekee.
Sijui ni sehemu ipi huwa mnashindwa kuelewa.
ZRB ni kwajili ya Zanzibar, TRA ni kwajili ya Tanganyika + ZanzibarZanzibar si kuna ZRB....huku TRA wanakuja kufanya nn?
Zanzibar ni kupe Kwa Tanganyika , ukanda wote wa pwani ni helpless Kwa hii nchi, Bahati mbaya ndo wapo kwenye high command
Kuna mzanzibari anaijua Tanzania kweli? Ikiwa mnaijua Tanzania. Leseni ya udereva imeandikwa JMT lakini haitakiwi kutumika znz, unakamatwa na askari aliyevaa nembo ya Jamhuri ya muungano wa Tz. Ukiiuliza unaambiwa si suala la kimuungano. Huu muungano unawanyonya wabara tu. Mzanzibari kujenga nyumba bara si hoja lkn mbara kujenga nyumba zanzibar ni habari.
Mzanzibari kumiliki duka la vileo ni halali lakini kwa mbara zanzibar ni nchi ya kiislam. Aisee nyie mimi nawachukia sana kwa sababu ni wabaguzi kuliko kawa
Wanzanzibar subirini za kwenu za ZRB, nyie ndo mnaongeza uhaba wa ajira Bara, hakuna mbara aliyeko ZRB au ZSSF lakini nyie mko bara mmejazana, wabara tulioko huku znz tuko kibishi lakini hamtaki hata kutuona
Tena hizo asilimia ni nyingi sana. Wazipunguze.
Mnasubiri nini kuuvunja?Muungano uivunjiliwe mbalini hauna faida yoyote kwa mzanzibari ni nakama na balaa tupu . Mchukue wenyewe zote 1000000000 percent
Mtuwachie nchi yetu mliyoivamia
Nadhani kwanza tujue TRA ni ya Muungano? Je Zanzibar hawana taasisi yao inayokusanya kodi? Kama TRA siyo ya Muungano hata hizo ni kuwadhurum watanganyika. Lakini kama ni ya muungano tuangalie wingi wa wahitimu je ni upande gani una idadi kubwa ya wahitimu wenye sifa?View attachment 1986349
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA.
Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,
230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo
Naona ingependeza walau kuwe na wazanzibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.
Nani ambaye amekataa au hajaelewa?Tunaposema Rais Samia anatoa ajira muwe mnaelewa,
Kasi ya Rais wetu inatia moyo kwa kila Mtanzania,
Hongera Rais Samia kwa ajira mpya tuko na wewe daima ,
Tanzania Revenue Authority.Nadhani kwanza tujue TRA ni ya Muungano? Je Zanzibar hawana taasisi yao inayokusanya kodi? Kama TRA siyo ya Muungano hata hizo ni kuwadhurum watanganyika. Lakini kama ni ya muungano tuangalie wingi wa wahitimu je ni upande gani una idadi kubwa ya wahitimu wenye sifa?
mkuu hayo ya uzanzibar na utanganyikar yametoka wapi? Tanzania ni moja na watanzania ni wamoja hakuna cha wazanzibar wala cha watanganyika. Sote ni watanzania.View attachment 1986349
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA.
Katika hizi nafasi 1,097, ile asilimia 21 itakuwa sawa na wazanzibari 230 tu,
230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza vyuo
Naona ingependeza walau kuwe na wazanzibar 300 ili kufidia fidia vijana wengi ambao bado wapo mitaani na degree zao.
kazi kutifuliwa marinda tuu hawana jipya. Ndicho kitu pekee wanachokijua basi.Halafu wao ni wabaguzi sana na wakija huku Tanganyika wanakula mema ya nchi tu ila ndio vinara wakulalamika
Ni ujinga wa CCM , moja ya fatal mistake aliyowah fanya mwl NyerereIlikuwaje mkamkumbatia kupe ??
Hapana mkuu, Zanzibar ni nchi inabidi iheshimiwe kama nchi.
TRA si suala la muungano Zanzibar kuna ZRA, huku waombe tu kama wengineView attachment 1986349