Ni application gani nzuri za kitanzania unazotumia?

Zaidi ya Bible na Jamii Forums sidhani kama kuna nyengine.

Labda nipitie pitie huu uzi nione hizo wenzangu wanazotumia kama zitanishawishi niziongeze kwenye list.
 
1. Jamii forum app kwa news na event zinazojiri nje na ndani ya tz https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quoord.jamiiforums.activity

2. Mtikiso App kwa burudani zinazojiri Africa Nzima Maana hapa naweza pata mpaka nyimbo za miaka ya nyuma yani za kale kama zilipendwa na old bongo fleva pia na nyimbo mpya daily na kwa wakati https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mtikiso

3. Muungwana app huyu jamaa ana ni inspire sana ni mpambanaji maana ni blogger ambaye hana muda mwingi lakn anakuja kwa kazi mno. Maana naona mpka ana wazd walio kwenye game https://play.google.com/store/apps/detailsid=com.muungwana.apkopp

3. Millard ayo..huyu staki kumuuelezea sana maana jina lake tu anajulikana kuwa ni nani na ana fanya nn kwa hapa tz kifupi ndio blogger pekee aliye wa aminisha vijana wengi kuwa kupitia blog unaweza kufanya makubwa sana kwenye maisha yako na ukatimiza ndoto zako https://play.google.com/store/apps/details?id=com.millard.ayo

4. Bbc swahili news https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kikesw.salim.info

5. Qur an for android hii ni best app kwa sisi wenye imani ya kiislamu kwani ni app ambayo inayokupa list ya wasomaje na ukachagua unayuhitaji ili usikilize pia ni app nyepes kwa mtu amnbaye anayehitaji kujifunza https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quran.labs.androidquran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm natumia App ya VOCHA MASTER Kwajiri ya kuongiza vocha kwa kuscan

Inapatikana playstore

Link- https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.co.wadau.rechargemaster

Asante
IMG_20181005_154558_576.JPG
 
Back
Top Bottom