Ni application gani kweny simu za smartphone ya block calls na sms za kawaida

impelle

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
832
1,106
Wataalam na watundu wa digital Salaaam
Naomba kujuzwa program au Application naweza kuinstall kweny simu hizi za smartphone yenye uwezo wa kuzuia SMS na Calls zote za simu za kawaida.
Kuna baadhi ya watu wananikwaza nikiona sms au simu zao zikiingia.
Naamini wajuvi katika jukwaa hili mtanisaidia.
 
sio lazima kutumia app....jaribu hii code, *21*007#

uzuri wake alieblockiwa hawezi jua kama umemblock.....
 
Tag me ukipata jibu
 
[Q
Mkuu hii unaitumiaje? Maana kwenye voda ukifanya hivyo inaleta ujumbe all calls zipo forwarded au inatakiwa itumike kwenye laini ipi?
UOTE="Natokea Kanda Maalum, post: 21154924, member: 405581"]Mkuu ebu fafanua vizuri[/QUOTE]

ni kwa mitandao yote, hii ina block calls zote zisiingie ila sms zinaingia kama kawaida....mtu akikupigia simu inakata tu kama vile kuna network failure tofauti na izo applications ambazo simu ikiingia, aliekupigia anaskia simu ikiita, then inakata kisha anaambiwa namba iko busy..
 
sio lazima kutumia app....jaribu hii code, *21*007#

uzuri wake alieblockiwa hawezi jua kama umemblock.....
Hiyo ubaya wake sms zitaingia na kupigiwa hautapigiwa na yoyote yule ila ww utapiga na utakuwa unaingia net tu kama kawaida.
 
Mkuu bado haiko that much friendly, jiongeze zaidi katika kuitumia kirafiki/ yaani easy application katika kumblock mtu, namba ya simu ukipigiwa au sms
 
Back
Top Bottom