Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Kuwa na subira. Uhondo wote utaujua kesi hii ya ugaidi itakapoanza kuunguruma mahakama kuu mwezi Oktoba au Novemba 2021. Hao vijana walianza kutumikia kifungo chao watakuja mahakamani kama mashaidi wa upande wa mashitaka. Haya mambo hakuanza jana wala juzi. Yalitikisa huko Kibiti na Mkuranga yakilenga viongozi wa kisiasa mbali mbali, baadhi yao waliuawa. Vijana hao waliotekeleza ugaidi huo, kwa mateso yanayoyapata waliamua kuwataja mabosi wao waliokuwa wanawatumikia. Akili zenu ziwe zina connect the dots! Fumbo hufumbiwa mjinga. Mmepewa fumbo limewashinda kulifumbua. Mnataka mfumbuliwe, haiwezekani.
 
Huyo ndiyo ukweli, mlijiandaa kuangamiza nchi uroho wenu.Acheni mahakama ihukumu kwa haki.Safari tunamalizana for good
Nawaza kama akikutwa hana hatia,atalipwa kwa usumbufu na muda aliopoteza akiwa mahabusu?
 
Kuwa na subira. Uhondo wote utaujua kesi hii ya ugaidi itakapoanza kuunguruma mahakama kuu mwezi Oktoba au Novemba 2021. Hao vijana walianza kutumikia kifungo chao watakuja mahakamani kama mashaidi wa upande wa mashitaka. Haya mambo hakuanza jana wala juzi. Yalitikisa huko Kibiti na Mkuranga yakilenga viongozi wa kisiasa mbali mbali, baadhi yao waliuawa. Vijana hao waliotekeleza ugaidi huo, kwa mateso yanayoyapata waliamua kuwataja mabosi wao waliokuwa wanawatumikia. Akili zenu ziwe zina connect the dots! Fumbo hufumbiwa mjinga. Mmepewa fumbo limewashinda kulifumbua. Mnataka mfumbuliwe, haiwezekani.
Acheni upumbavu,hakuna mtu aliyehukumiwa kwa ugaidi nchi hii!
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Kuwa na subira. Uhondo wote utaujua kesi hii ya ugaidi itakapoanza kuunguruma mahakama kuu mwezi Oktoba au Novemba 2021. Hao vijana walianza kutumikia kifungo chao watakuja mahakamani kama mashaidi wa upande wa mashitaka. Haya mambo hakuanza jana wala juzi. Yalitikisa huko Kibiti na Mkuranga yakilenga viongozi wa kisiasa mbali mbali, baadhi yao waliuawa. Vijana hao waliotekeleza ugaidi huo, kwa mateso yanayoyapata waliamua kuwataja mabosi wao waliokuwa wanawatumikia. Akili zenu ziwe zina connect the dots! Fumbo hufumbiwa mjinga. Mmepewa fumbo limewashinda kulifumbua. Mnataka mfumbuliwe, haiwezekani.
wewe nishakudharau kitambo
 
Sasa Mheshimiwa rais wetu kasema hivyo, wewe ndiyo unaijua nchi hii kuliko rais? Mbona nyie watu wa ajaabu sana.
Awataje

Alivyosema watanzania hatuna tatizo na tozo na kwamba tumeikubali,alikuwa anamrejea mtanzania gani?Au wewe uliulizwa ukakubali?Huoni hapo Rais kasema uongo?
Mangapi mengine anaweza kusema uongo?
 
hadithi za shetani hazijawahi kudumu hata siku moja dhidi ya ukweli wa ki -Mungu.
Huyu mama ameanza vibaya na anakwenda kumaliza vibaya ni ushindi kwa wapinzani wake ndani ya ccm
 
Awataje

Alivyosema watanzania hatuna tatizo na tozo na kwamba tumeikubali,alikuwa anamrejea mtanzania gani?Au wewe uliulizwa ukakubali?Huoni hapo Rais kasema uongo?
Mangapi mengine anaweza kusema uongo?
Haiwezekani ukamuuliza kila mtanzania. Ndiyo maana tunachagua wa kutuwakilisha ambao tunawaita wabunge. Hivyo wabunge wote waliulizwa bungeni na wote wakasema ndiyo, tena walíulizwa mmoja mmoja. Wale 19 wali absetain. Sheria ikapitishwa. Hivyo hata rais hana mamlaka ya kikatiba kuifuta au kuibadilisha sheria hiyo. Wenye mamlaka hayo ni wawakilishi wetu tu huko hungeni.
 
Angesema Wabunge wameikubali na si wananchi!Hakuna sehu ambapo mbunge alifanya mkutano na wananchi na wakamtuma akaombe tozo!Serikali imeleta tozo na kwakuwa bunge ni la CCM basi ikapita kwa kishindo,kama ingekuwa ni wananchi wametaka hiyo tozo basi malalamiko yasingekuwa mengi na kuzua mjadala!
Rais amesema uongo hadharani!
Watu waliounganishwa na Mbowe kwenye ugaidi kesi zao hazijatolewa hukumu!Huo ni uongo mwingine!
 
Anasema yeye mwenyewe anatuma sana kwa ndugu zake pesa kupitia mitandao ya simu , nikajikuta nacheka tu
 
FB_IMG_16287999155827173.jpg
Tunajiunga na Mnyika mama ni Fiksi ,magirini au chai bila sukari🤣🤣🤣
 
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea.

Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.

Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Mkuu kesi ipo mahakamani haya mambo ya kuja kutuuliza huko JF sidhani kama yanatusaidia ,kama una ushahidi basi kamwambie Kibatala. Pia jitahidi hata kuongelea pia mambo mengine, wewe kila uzi ni Mbowe tu, sijui akistaafu utaishi vipi bila Mbowe.
 
Mimi siandiki kuhusu Mbowe , naandika kuhusu Chadema , sasa Mbowe si ndio mwenyekiti , unamuachaje ?
 
Back
Top Bottom