Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

Waambie mkuu. Siyo vizuri. Mkumbuke rais naye ni. binadamu. Jiweke pia sehemu yake. Utafurahi ukifanyiwa hivyo. Maadili ni kitu muhimu.
Yeye mbona hana hayo maadili,au hiyo heshima?.

Ukiwa mropokaji jiandae kuto heshimiwa tuu.iwe wazi wazi au sirini. Aanze yeye ku uheshimu urais
 
Back
Top Bottom