Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,252
- 2,852
Alipokuwepo madarakani Kikwete tuliona udhaifu mkubwa sana kwenye uongozi. Kulikuwa na ombwe la uongozi labda pia kwa sababu ndugu Kikwete alikuwa busy sana safari na hata mengine yalikuwa yakisemwa hakuwa akiyasikia eitha alikuwa hewani au ardhini nchi za watu wengine. Watu walipopiga vita na kelele juu ya ufisadi na baadaye wakaona mafisadi wanakunywa naye urojo au mtori walilalamika sana kwa ndugu huyo kushindwa kuwashughulikia.
Mambo ya wizi mkubwa wa bandarini, TRA, upotevu wa fedha maeneo mengi nchini, kampuni hewa, mishahara hewa, nini hewa.. n.k watu wakilia na kusaga meno wakiomba mungu awaletee kiongozi mwenye maamuzi magumu, mwenye msimamo asiye mlegevu.
Akaja akapatikana huyo rais ambaye ukisema Kitwanga ni ...anamwondoa, ukisema ombeni ni..anamwondoa. anawatimua wafuaji wote waliobakizwa kwenye system na ndugu zao. Akawa anafanya usafi kwanza kwenye nyumba na kuondoa makando kando yote yaliyobaki. Huyu aliongza ukali kutaka jenga taifa lenye ari ya kazi na si majungu, fitina, ufisadi, ubadhilifu na ushetani.Katika kipind kile ambacho watu waliishi kwa kuuza maneno sasa hali imkuwa tofaut huwezi ishi kwa miaka mingi ukitegemea kuuza maneno.
Lawama zimeanza tena kuwa Rais anachukua maamuzi magumu, dikteta n.k Kipindi kile Job Ndugai bungni alionekana mbaya na aliwahi kuathiriwa na matumizi ya bhangi lakini leo anaonekana ni mtu mzuri ukimlinganisha na Dr Tulia.
Ni ajabu leo mtu bila aibu anasema ni bora ya Kikwete. Hivi huyu ni mtanzania kweli? Ana akili kweli? Analitakia nini taifa hili kama si mabaya? Hamwoni kuwa sasa mnamchanganya "Mungu" anashindwa kuwaelewa mnataka nini?
Tufikie hatua tuamue kuwe serious na tuache kuwaza mambo yasiyo na msingi kwa wakati huu.