Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Asisahau pia Mkomamanga, mbalungi, mlonge na angalau hata mti mmoja wa kienyeji,napendekeza awake Mlumdalunda au mtundwa.

Baada ya kuitumia google ndiyo nimegundua mbalungi ni grapefruit. Na ndiyo pia napata nafasi ya kujifunza kuna tofauti ya grapes na grapefruits...Hahaha!!
 
Kuna mti,Niliuona unaitwa ...Mvunja Genge ....Nani anafahamu ,faida zake Ni zipi!
 
Huo mti Ni miezi sita tu umefungamana ila popo na ndege wengine wanapenda kula matunda yake ila hawaweki makao ...ndio mharadali huo ..kwa kudondosha majani haujambo ...ila mizizi yake haiwezi kuvunja ukuta hata Kama unaotesha jirani na nyumba ...

Mi naipenda .nimefunga taa ya whatt 9 kwa hiyo popo hawasogei
JPEG_20201206_171242_2963635192706662825.jpg
 
Kuna mti,Niliuona unaitwa ...Mvunja Genge ....Nani anafahamu ,faida zake Ni zipi!
Hauna faida,vitunda vyake vikipasuka hilo eneo hakai mtu vinanuka hatari tukiwa watoto tulikuwa tunatumia kuvunja mikusanyiko ukikipasua watu wanatawanyika vinanuka hatari.
 
Back
Top Bottom