Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka ... naweza pata miche ya Baobab tree ?
MLONGE! Humtakii mema.Asisahau pia Mkomamanga, mbalungi, mlonge na angalau hata mti mmoja wa kienyeji,napendekeza awake Mlumdalunda au mtundwa.
Huu sasa ni utani. Mbuyu!Kaka ... naweza pata miche ya Baobab tree ?
Asisahau pia Mkomamanga, mbalungi, mlonge na angalau hata mti mmoja wa kienyeji,napendekeza awake Mlumdalunda au mtundwa.
Hii miti ya USA inaweza ku survive huku Mbagala?
Huu mizizi yake si unaweza ikuta sebuleni?Kwamba muarobaini hauna thamani siku hizi? Naona hautajwi
Ni kweli unaweza ukaukuta ila unapanda mbali na nyumba kidogo. Kivuli chake ni bab kubwa huu mtiHuu mizizi yake si unaweza ikuta sebuleni?
alafu moshi kwa wachaga ndio wanaongoza kwa kupamba nyumbani na Garden.Mkuu miti ipo Moshi hii pia,sasa sijui unasema nini!
Hii miti ya USA inaweza ku survive huku Mbagala?
Ok inafaa sehemu za baridiIpo Moshi milimani huko panaitwa mamndenyi,ni baridi 24/7/365!
Usinikumbushe tandahimba weweUpupu