Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

kwa walio wahi fika Kampala ile miti waliyootesha bara barani huwa wanaishave vizuri inanivutiaga sana sijui inaitwaje,mwenye kufika huko na kuiona atsaidie
 
natafuta hii inaitwa wall creeper

17438582-creeper-plants-on-tree-trunk.jpg
 
Hadi chozi limenitoka!! Nilikuwa nakula haya matunda harafu nameza mbegu zake kimbembe wakati wa kujisaidia haja Kubwa. Duh hakuna maisha matamu ya uwindaji na uchungaji ng'ombe usukumani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wajameni,

Nahitaji msaada kujua aina ya miti inayokua kwa muda mfupi, yenye kivuli kizuri na show nzuri.

Iwe environmental friendly, Yasiwemakazi ya wadudu. nmekua curious kutengeneza backyard Garden sehemu ambayo ntaitumia kupumzika na kusoma.
hii thread ni nzuri Sana .... ningependekeza uwaombe moderators waibadili tittle iwe - Wanaopenda Mimea, miti, maua na Garden .... Kwenye forum ya Habari mchanganyiko

Moderators please .... PainKiller Moderator
 
Back
Top Bottom