Ni aibu tupu Uwanja wa Taifa, Serikali angalieni hili

Nilikuwa Uwanja wa Taifa Leo kuangalia mchezo wa mpira miguu kati ya Simba na Yanga wa Ligi juu Tanzania Bara ambayo imeisha kwa Simba kuifunga Yanga.

Lakini nilichoona Leo mara nilipopata muda wa kuingia ktk vyoo vya uwanja kkwa short call mmmmh ni hatari sana kwa afya za watazaji wa mpira lakini kubwa zaidi ni aibu kwa Taifa.

Jamani jamani kweli maji ni shida au yamefungwa maana kuna madimbi pia ya maji yasiyoenda sasa sijui vyoo vimeziba...mikojo imejaa haiendi aiseee ni hatari sana.

Serikali ndiyo wamiliki wa uwanja hebu yaangalieni haya mapungufu.

Au uwanja bado unajengwa??
Haujakamilika
 
Serikali ingetangaza zabuni kwa ajili ya kuusimamia uwanja kwa private sector
 
Nilikuwa Uwanja wa Taifa Leo kuangalia mchezo wa mpira miguu kati ya Simba na Yanga wa Ligi juu Tanzania Bara ambayo imeisha kwa Simba kuifunga Yanga.

Lakini nilichoona Leo mara nilipopata muda wa kuingia ktk vyoo vya uwanja kkwa short call mmmmh ni hatari sana kwa afya za watazaji wa mpira lakini kubwa zaidi ni aibu kwa Taifa.

Jamani jamani kweli maji ni shida au yamefungwa maana kuna madimbi pia ya maji yasiyoenda sasa sijui vyoo vimeziba...mikojo imejaa haiendi aiseee ni hatari sana.

Serikali ndiyo wamiliki wa uwanja hebu yaangalieni haya mapungufu.

Au uwanja bado unajengwa??
Ala kumbe, bora ibaki hivyo. Wakitumbuliwa mnalalamika. Tulishasema nchi hii mambo hayaendi ila kwa mkono wa chuma.
 
Kutumbuliwa si shida wanaweza kutumbuliwa sana lakini yasitokee mabadiliko.

Issue ni kujenga misingi ya uwajibikaji na uwajibishwaji kwa watumishi.

To me lack commitment ktk kuwajibika na kujali Mali za umma.
 
Back
Top Bottom