Ni aibu na kwa kijana aliyemaliza Chuo Kikuu kupigia chama kisichomsaidia kwa lolote

Status
Not open for further replies.

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,795
28,453
Sote tunatambua umuhimu na madhara ya siasa ktk maendeleo ya nchi na kwa mtu moja moja.pia tunajua umma mkubwa wa watanzania ni WAJINGA ni sisi pekee tunaweza badilisha hali hyo play your part.
Ili ujue kitu fulani ni kizuri au kibaya ni lazima ufanye mlinganisho.lets try anather political party.
 
Acha kauli za kibaguzi, kila mtu anachoice ya kuifanya na huna mamlaka ya kujudge maamuzi ya mtu.
 
kwa mtu wa chuo kikuu anayejitambua na anayejua kuwa huduma muhimu zinatolewa kwa ubaguzi hasa kwa wenye hela na viongozi hata tukisema ni kufuata demokrasia itakuwa upunguani kuchagua ccm!
 
Mtu mwenye miaka kumi na nane anayejua mema na mabaya akichagua ccm atakuwa mjinga mkubwa
 
Mtu mwenye miaka kumi na nane anayejua mema na mabaya akichagua ccm atakuwa mjinga mkubwa
Hii tukana tukana haisaidii, kama wewe mvivu unatafuta wa kumlaumu kwa uvivu wako, vizuri. Upinzani wamepoteza wasomi WALIOELIMIKA baada ya kumpokea lowassa. Rais anajenga taswira ya chama na ana inspire performance ya watendaji. Acha kukariri mambo ya mfumo.
 
Kajifunze maana ya DEMOCRACY kisha urudi hapa na huo upuuzi wako!!

democracy ina tegemeana na vitu vingine,hasa uelewa wa mambo.ni bora mtu aichague ccm kwa kukosa uelewa sio wewe unayejua maana ya siasa afu bado una chagua ccm.na ndio maana democracy sio 100% kuna critcs zilizopo behind,that way democracy sometime ni ujinga kulingana na mazingira
 
Bado ukweli unabaki pale pale msomi umeelimika huwezi kuchagua ccm...unless otherwise una maslahi binafsi!!lazima tuangalie upande wa pili watatuletea vitu gani...2005 uchumi ulikuwa kwa 7%...mwaka 2015 bado uchumi wa tz unakuwa kwa 7%...7%-7%=0%
Msomi uliyeelimika huwezi kuwa na nadharia ya BORA NIMPE URAIS SHETANI ILI MRADI sisiemu itoke madarakani na unajua fika sisiemu wamesimamisha mtu muadilifu.
 
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.

Bora CCM kuliko kuchungua magenge ya familia na koo flaniflanı.Ni upumbavu na si ujinga kuchagua chama kınachoongozwa na watu wa familia moja na mahawala zao.Ni ujinga kumchagua fişadi ambaye dunia nzima inamjua hvyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom