Ni aibu kwa wafadhili kushirikiana na JK bila kukutana na wanaomkataa?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Wafadhili kuendelea kuifadhili Serikali ya JK ni aibu kwani ndio wanaosisitiza demokrasia hivyo kumfadhili Rais anayelalamikiwa watakuwa na lao jambo na nchi yetu.Hivyo ni vema wamshinikize asuluhishe tatizo lake na wanaomkataa(Chadema).
 
Wafadhili kuendelea kuifadhili Serikali ya JK ni aibu kwani ndio wanaosisitiza demokrasia hivyo kumfadhili Rais anayelalamikiwa watakuwa na lao jambo na nchi yetu.Hivyo ni vema wamshinikize asuluhishe tatizo lake na wanaomkataa(Chadema).

Wewe unafikiri akili za wafadhili zinafanana na CHADEMA?
 
of course kama akili za wafadhli zitafanana na za CCM na JK, ni kwa sababu wanafaidi resources zetu, ili wewe sijui Mmaroroi na watanganyika wengi tuendelee kuwa maskini; acha mararoso yako; I guess ungepaswa kuweka jina lako hivyo. Una uelewa finyu sana, I pity you. Huoni hata jinsi ambavyonchi yetu yenye resources nyingi inavyokamuliwa each day by the few within the ruling elite and their associate from outside. Open your eyes, one day they will loot your own house and it shall be well with you just because you worship CCM na mamluki zake....
 
Hakuna mfadhili hapo,
hao jamaa wameshajua JK ni kibuyu na hajui kama wao (wafadhili) ndio wanaitia umaskini hii nchi, hivyo wanachukua mia na kuacha 3 na katika hiyo 3 JK na wenzie wanachukua 1.5, na 1.5 iliyobaki ndio milioni 40 hakiwemo JK na wenzie waliochukua 1.5 tunaigombania
 
Wakiendelea kuifadhili bila kudai suluhu tutajua kuwa lengo lao si zuri kwa nchi yetu na tutachukua hatua ya kuwakataa.
 
The situation is not yet worse, waTz bado hatujaamka na mpaka sasa hivi ni watu wachache tunaona madhara ya ufisadi na uchakachuaji. Donors are still watching... Nafikiri watafanya kitu kwa ajili ya hilo, waTz wengi zaidi watakapokua wameamka .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom