Ni aibu kwa taifa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kutoendelea na masomo kisa Corona

Mfumo wa kusoma Kama EDX sio mfumo wa kufanya live classes lakin vipindi vinaandaliwa vya kozi yote vinawekwa mtandaoni, kwa hiyo mwanafunz anaingia kwa muda wake anapakua tutorials anakuwa nazo akisoma. Hata Kama hana simu nzuri au Hana laptop anaweza kwenda internet cafe na kupakua videos na notes anaweka kwenye simu yake au haga kwenye DVD Kama ana TV nyumbani anaendelea kusoma. Kitu kingine wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wana smart phone ambao hawana ni wachache Sana Sana. Kwahiyo Wizara ya Elimu ingewaza kuwa na Platform za kusoma Kama EDX, UDEMY, na zinginezo, ambazo wanauppload tutorials za kozi zote huko. siwezi kusuggest kutumia majukwa kama Zoom kwa sababu yanahitaj strong internet connection kwahiyo itakuwa ngumu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good idea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania bado tuko nyuma vyuo vimeshajaribu ila tatizo ni wanafunzi, kuanzia location walipo na availability of network, pia data sio bure, na vifaa vina shida pia sio kila mwanafunzi ana PC au good smartphone maana kama ni Zoom na zingine za aina iyo zina chakua aina ya kifaa kutokana na version.
Ubarikiwe Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom