Ni aibu kwa 'jibaba' zima kugombania siti na mwanamke

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
543
Hivi kwanini watu ni washamba kiasi hiki, nashindwa kuwa define hawa. Je nikutaka kustarehe pindi akiwa kwenye daladala au ni wavivu wa kusimama labda jioni mtu anakuwa amechoka lakini asubuhi aaaa to much! Hii nawalenga ile midume ya kugombania siti.
 
Hivi kwa nini watu ni washamba kiasi hiki,nashindwa kuwa define hawa. Je nikutaka kustarehe pindi akiwa kwenye daladala au ni wavivu Wa kusimama labda jion mtu anakuwa amechoka lakini asubuhi aaaa to much, hii nawalenga ile midume ya kugombania siti
 
Hivi kwa nini watu ni washamba kiasi hiki,nashindwa kuwa define hawa. Je nikutaka kustarehe pindi akiwa kwenye daladala au ni wavivu Wa kusimama labda jion mtu anakuwa amechoka lakini asubuhi aaaa to much, hii nawalenga ile midume ya kugombania siti
Ukiamkaaaa NAPOMBE UWEZIPATA SITI WENYENGUVUZAO NDIOO WANAAKAA
 
Nilikuwa naye kwenye daladala moja. Hataki kusogea nyuma wenzake wapande.

Wakati anaandika huu uzi wake nikajua leo nimemdaka member wa JF. Kumbe ni raia mwema sio BAVICHA.
 
Ukiamkaaaa NAPOMBE UWEZIPATA SITI WENYENGUVUZAO NDIOO WANAAKAA
Mpwa nahisi umeamka nazo.mkuu anasema hivi vidume vinavyogombania asubuhi anashauri wanaume wote wawaache wadada waingie wakae kwenye siti vidume visimame.ila Mpwa mimi nikiamka nazo nikikosa seat huwa sipandi nashindwa kusimama na mafoleni ya tabata.Mpwa karibu tabata hutojuta mambo yetu yaleeeee yapo
 
Ukitaka raha nunua yako. Binafsi kama gari IPO stand na mtu akaingia ili hali gari imejaa huwa siwezi kumpisha siti hata kama awe babu yangu. Haiwezekani upo stand ulazimishe kuingia gari iliyojaa ukitegemea kuachiwa siti kwa kuwa wewe ni MZEE au mwanamke hata kama una mtoto. Kama upo stand ya mabasi huna haja ya kulazimisha kupanda gari ambayo imejaa ili hali kuna gari zingine zipo stand. Huu ujinga huwa sifanyi na sitakaa niufanye. Kama una mtoto nitakusaidia kubeba mtoto wako ila siyo kukuachia siti.
Kwa shida za usafiri dar hili ni jambo la kawaida. Fikiria nje ya box.
 
Mwanaume kuuliza swali kama hili ni aibu kubwa sana
Ata Mimi huwa siwaachii siti kama zamani labda awe Mzee.....

Wengi wanaroho kubwa, siti ya watu wanne wanatakaa wakae watatu eti unawabana bora usimame........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom