Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Nimeskitishwa sana na tamko la kutafuta kiki lilitolewa na wanaojiita viongozi Wa uvccm ambao wameelekeza malalamiko kwa vyama vya upinzania eti hakuna demokrasia. Hapa tunajicheka kwani ni afadhali kwao kuliko ilivyokuwa hapa kwetu katika kuwatafuta wagombea Wa ubunge Wa bunge LA Afrika mashariki.
Acheni kutafuta kiki kwa mambo ya kijinga mnapaswa kutulia kwani wenye chama na tulioko huku ndani ndo tunajuwa kuwa vyama pinzani wametuacha kwa demokrasia kwa kiwango kikubwa
Taarifa ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa vyombo vya habari Upanga Dar es Salaam