Ni aibu kubwa mwanasiasa kujidhalilisha kiasi hiki...

UPDP !!!!! Hivi hiki chama kipo?

Sishangai kwa yale yanayoripotiwa kusemwa na kiongozi wa chama hicho.

Kila hali huzaa vitu vyake. Haya ni mazao ya hali ilivyo sasa. Wanautumia udhaifu wa CCM ili kujiweka karibu ya CCM ili wapate makombo yanayobakia. Wanajipendekeza ili waonekane wanaijali sana nchi na kuibebesha CHADEMA mzigo wa uvunjifu wa amani!

UPDP, ni amani gani wakati vijana wetu hawana kazi, ni amani gani wakati watoto wetu hawana madawati shuleni, amani gani hiyo wakati dispensari hazina dawa? na mengineyo. "FAINT HEARTS NEVER WIN DECISIVE BATTLES" the late Malcolm X.
 
hata bado, yako mengi yanakuja ndio watu wataelewa kweli Chadumaa ni chama cha wananchi au Business Gangstar
 
Najisikia hata kinyaa kuchangia hoja za mwanasiasa uchwara kama huyo jamaa. Wengine wanalaumu mazeti ya UHARO (uhuru) na JAMBA LEO (jambo leo) kuandika habari za kipuuzo, kwani mna uhakika na akili za wahariri na waandishi wa habari wa magazeti hayo? In fact, inahitaji uwe na moyo wa mwendawazimu kufanya kazi kwenye magazeti hayo.
 
Ni wazo zuri alilotoa, ila inabidi yeye awe wa kwanza kupimwa akili kwa kuwa nina mashaka na akili zake kama zipo timamu, kwa vyovyote zimeshafyatuka.
 
Jamani samahani mimi niko mkoani. Je DOVUTWA ni ugonjwa gani huo?
Je ni hatari kama EBOLA? maana siku hizi magonjwa hatari siku hizi yana
majina ya ajabu ajabu kama hilo ngojwa la DOVUTWA. Je watu wa Manzese
wamewekewa karantini ya DOVUTWA wasiwaambukize watanzania wengine?
Je hadi sasa ni hatua gani MoHSW imechukua kudhibiti huo ugonjwa hatari wa
DOVUTWA? WHO wamepewa taarifa? Aidha ni Watanzania wangapi wamekufa hadi
sasa kwa huo ugonjwa wa DOVUTWA?

Halafu UPDP ni cheo gani cha kijeshi? Maana mara ya mwisho kusikia neno UPDP
kilikuwa ni cheo cha wana-Mgambo wa INTARAHAMWE sawa KOPLO kwa rank za JWTZ.

Eeeh Mungu tunusuru na hili radhi la DOVUTWA pamoja na hao wana-mgambo wa
intarahamwe (read UPDP) wanaotaka kuvuruga amani ya nchi yetu. AMIN
Ahahahaah!! Inawezekana kweli kabisa yeye ndio akawa na matatizo makubwa!
 
msimchukie yuko kazini tazameni kofia yake na mfikiri ni taasisi gani wanavaa kofia zile.............
 
Back
Top Bottom