Ni aibu kubwa kwa TFF kwa Simba kujiandaa mchezo wa kimataifa kwa siku 14

Nimekuwa mdau mkubwa wa ligi mbalimbali duniani wa mpira wa miguu na ndondi na mara nyingi sana ratiba za ligi mbalimbali huwa zinakwenda vizuri sana .Mfano tu ligi ya Uingereza unaona jinsi ambavyo timu inacheza ligi kuu,kimbe cha FA Europe ligi,Champion ligi bila hata kuona ratiba ya ligi kuu ikienda vibaya.

Lakini hapa Tanzania ni aibu kwa TFF kuona timu ikijiandaa na mchezo na Nkana Red D kwa siku 14 toka walipotoka huko Bondeni.

Ni ajabu sana kwa ligi yetu hapa Tanzania kuona mpaka wiki inaisha timu zinakuwa zimecheza michezo tofauti tofauti wakati ukiangalia Ligu ya Ufaransa,Ujeruman,South Africa,Kenya,Spain n.k unaona jinsi ambavyo tiimu zimecheza michezo yao kwa uwiano sawa.

Sasa hapa kuna timu imechezo michezo 12 na timu nyingine michezo 15 ni aibu kubwa sana na huoni sababu zozote za msingi

Nini ambacho kinishindikana kufuata ratiba ya TFF,CAF na FIFA
Msomali ni Tatizo kubwa ktk maendeleo ya Mpira wa Tanzania....nashauri alogwe awe shoga tu
 
TFF inaharibiwa na watu wawili tu
Rais na Katibu
wote wanatoka mkoa mmoja Morogoro

Katibu anavyokomalia inshu ya Malinzi kuwa wafungwe anasahau kuwa nae alikuwepo ktk huo upigaji

Karia kiukweli anapoteza sifa za kuwa Rais
kutokana na majukumu aliyonayo serikalini

Karia inasemekana anamaliza hata mwezi mmoja hajafika ofisini akiwa mkoani Morogoro kwao huko
Yeye ni mtumishi serikalini
Majukumu yote yakifanywa na katibu

Je nani asiyejua kuwa katibu huyu hata barua ya kuomba hakuandika?
alipewa tu kwa hisani

Wambura ndiye anapaswa kupewa nafasi ya Urais
ili Taifa lisonge mbele

Nani hajui chuki za wazi za TFF dhidi ya Simba SC?
chuki za wazi dhidi ya Yanga SC?

Kama isingekuwa Waziri mkuu kuingilia kati huenda MO asingepewa timu awekeze
TFF walivyokuwa wakiibua sababu kila kukicha

Nani hajui hizi figisu kwa Yanga SC kuwa zinaanzia TFF?
Manji hatakiwi n.k

Mechi ya Simba SC na Nkana isingekuwa maelekezo ya MO kuwa TFF isihusike na chochote nani hajui kuwa ilikuwa inaondokewa?

Je ni kweli lile kontena lililoletwa na Samantha kwa kila timu ipewe seti mbili mbili za Jezi na mipira 30
kwa timu zinazoshiriki Ligi kuu
ni timu ipi imepewa hadi sasa??

Ukweli ni lazima usemwe TFF imepoteza dira
Na Raundi ya Pili ya Msimu
Ligi itakuwa ni aibu coz timu zitakosa hela za kujiendesha
nyingi zitaishia kuuziwa mechi zao

Wambura apewe TFF aendeshe
nae akishindwa basi atatolewa
Ila kwa sasa tusifumbie macho uozo huu wa TFF
 
Kwa anayejua ukweli wa hayo tajwa hapo juu
 
hakuna watu wanaroho za kichawi kama mashabiki wa yanga..pamoja na kwamna simba wamefanya jambo kubwa sana ambalo halijafanywa na timu yoyote kwa zaidi ya miaka mitano lakini bado wanabeza juhudi za mnyama simba...hiyo chuki haitawafikisha popote wazungu wanasema"if you cannt win them join them!!"
 
Back
Top Bottom