Elections 2010 Ni aibu JK kushinda kwa 55% anataka atleast 75%

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
323
Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%
 
Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%
Wa Ndima, subiri kidogo, matokeo ya mwisho kabisa ndio yanatangazwa sasa, hivyo ukweli utajulikana soon!.
 
yaani hiyo 55% ni baada ya kuchakachua matokeo, hii ina maana alikuwa chini ya hapo. Sasa anataka atangazwe kwa zaidi ya 75%
 
yaani hiyo 55% ni baada ya kuchakachua matokeo, hii ina maana alikuwa chini ya hapo. Sasa anataka atangazwe kwa zaidi ya 75%

Kuna mtu hapa alisema kuwa CIA walimwambia JK kuwa hata baada ya uchakachuaji wao Slaa angeshinda kwa 54.6 %. Naona usalama wa taifa wameoneza uchakachuaji zaidi kumpa hiyo 55 % JK. Ni dhahiri kuwa JK alikuwa ameshindwa na Dr. Slaa kwenye uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom