Wa Ndima, subiri kidogo, matokeo ya mwisho kabisa ndio yanatangazwa sasa, hivyo ukweli utajulikana soon!.Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%
Dawa yao hawa ni kuandamana kama tulivyopanga
Ushindi wa mezani ndiyo style ya mafisadi.
Ata iyo 55 nyingi labda 49
yaani hiyo 55% ni baada ya kuchakachua matokeo, hii ina maana alikuwa chini ya hapo. Sasa anataka atangazwe kwa zaidi ya 75%
CCM - Chama Cha Mafisadi.
kila mwenye silaha abebe siku ya maandamano, mimi nina gobole tayari