Elections 2010 Ni aibu JK kushinda kwa 55% anataka atleast 75%

Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%

Wfrom which source? Kwanini mnapenda eti eti? Dalili ya uzushi.kuwa na data na source
 
Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%

ETI ETI ZA NINI? Toa data na source.eti ni dalili ya uzushi
 
Back
Top Bottom