Ni aibu JK kushinda kwa 55% anataka atleast 75%


Wa Ndima

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
1,520
Likes
46
Points
145
Wa Ndima

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
1,520 46 145
Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%
 
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
2,865
Likes
32
Points
0
Gosbertgoodluck

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
2,865 32 0
Ushindi wa mezani ndiyo style ya mafisadi.
 
Msongoru

Msongoru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2008
Messages
306
Likes
5
Points
35
Msongoru

Msongoru

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2008
306 5 35
du! wako mko uptodated
 
B

Bi. Mkora

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
375
Likes
5
Points
33
B

Bi. Mkora

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
375 5 33
Mungu hebu tupa jicho lako Tanzania.
 
R

rushembo

Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
10
Likes
0
Points
0
R

rushembo

Member
Joined Nov 3, 2010
10 0 0
Dawa yao hawa ni kuandamana kama tulivyopanga
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,199
Likes
29,930
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,199 29,930 280
Habari nilizozipata ni kuwa eti JK ameshinda kwa asilimia 55 hivyo yeye na serikali yake wameshinikiza watangazwe wameshinda kwa atleast 75%
Wa Ndima, subiri kidogo, matokeo ya mwisho kabisa ndio yanatangazwa sasa, hivyo ukweli utajulikana soon!.
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,390
Likes
464
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,390 464 180
Ata iyo 55 nyingi labda 49
 
M

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Messages
5,490
Likes
17
Points
0
M

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2006
5,490 17 0
kikwete alipata chini ya asilimia 40 za kura
 
Wa Ndima

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
1,520
Likes
46
Points
145
Wa Ndima

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
1,520 46 145
yaani hiyo 55% ni baada ya kuchakachua matokeo, hii ina maana alikuwa chini ya hapo. Sasa anataka atangazwe kwa zaidi ya 75%
 
T

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
350
Likes
0
Points
33
T

TanzActive

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
350 0 33
hivi msimamo urais katika % ni vipi hadi sasa
 
FairPlayer

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2006
Messages
4,166
Likes
76
Points
145
FairPlayer

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2006
4,166 76 145
JK anaongoza kwa 60 percent. It is bound to go up to 68 or 75 subiri
 
rmashauri

rmashauri

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
3,009
Likes
21
Points
135
rmashauri

rmashauri

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
3,009 21 135
yaani hiyo 55% ni baada ya kuchakachua matokeo, hii ina maana alikuwa chini ya hapo. Sasa anataka atangazwe kwa zaidi ya 75%
Kuna mtu hapa alisema kuwa CIA walimwambia JK kuwa hata baada ya uchakachuaji wao Slaa angeshinda kwa 54.6 %. Naona usalama wa taifa wameoneza uchakachuaji zaidi kumpa hiyo 55 % JK. Ni dhahiri kuwa JK alikuwa ameshindwa na Dr. Slaa kwenye uchaguzi huu.
 
Mpambalyoto

Mpambalyoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Messages
752
Likes
2
Points
0
Mpambalyoto

Mpambalyoto

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2010
752 2 0
Wasisahau, wampe 100% kabisa
 
K

King kingo

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2010
Messages
401
Likes
3
Points
35
K

King kingo

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2010
401 3 35
kila mwenye silaha abebe siku ya maandamano, mimi nina gobole tayari
Mimi nakuja na upupu ole wao polisi wajifanye wajanja tena upupu wenyewe mkali unapita hadi kwenye nguo
 
M

Mkono

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
569
Likes
0
Points
33
M

Mkono

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
569 0 33
wizi wao unakaribia kupata dawa
 
faithful

faithful

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2010
Messages
380
Likes
12
Points
35
faithful

faithful

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2010
380 12 35
porojooooz!leteni na kahawa basi tunywe!
 

Forum statistics

Threads 1,236,662
Members 475,218
Posts 29,265,890