Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka.

Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu lakini wakati mwingine mapungufu yetu haya yanaweza kuwa unbearable kwa mwingine.

Nilikutana na huyu dada nikiwa mkoani na nilimtongoza na mishe boom ikatiki, ni msichana mzuri tu sio haba. Sasa kuna siku tumekutana then tuka sex, aisee wakati namshusha chupi yake hata sijamaliza bado nilikutana na harufu mbaya moja kali sana.

Niliduwaa kwa sekunde kadhaa nisijue nimwambie au nivunge, lakini nina hakika hata yeye alikua anaisikia. Basi bwana kidume nikajikaza nikachomeka nikaendelea na shughuli nikijifariji maybe hakuwa anajua tunge sex, lakini bado sikuona kama ni sababu ya maana ku justfy hilo.

Maana yake mtu huwi msafi sababu unaenda sex tu. Next time mambo yakawa vilevile, tena nakumbuka wakati tunachat hiyo siku alisema anaoga then anakuja lakini baado harufu Iko pale pale. Sikudumu naye sana tulikuta tuna ji distance kidogo baadae ndiyo kimoja.

Ebu tuambie, wewe ulimfichia aibu gani mpenzi wako? Lakini pia tuambie uliikabili vipi hiyo aibu, huenda ulllitumia approach nzuri ikamsaidia na mwingine hapa?
Una roho ngumu kinyama mkuu
 
Ukichunguza hizi comment utagundua kwamba wananwake ndo wanakuwaga na madudu zaidi, sijaona comment ya kumkosoa mwanaume yaonekana wananaume tunalinda sana brand.
Tumejaaliwa staha...maana ya neno Siri ni kubwa sana...kwamba mnanuka midomo,pumbu zimevunda...kwapa zinanuka...kibamia,kukojoa chap jogoo akapime...upungufu wa nguvu za kiume....hamjui kuandaa ....hamjui kupump AK.A kusugua k.Tena kuchezea chuchu ndo tunajikaza tu Kwa maumivu,mnafinya kama mnatudai...kumung'unya ndo kama mnakula ubuyu...mtatunyofoa vifua wenzenu...hatusemi tu Kwa kweli...na mnapojamba muwe mnakumbuka mlikula nn before makutano yetu,mnatutesa ....Afu kwani Lazima unapokojoa ujambe🙄
 
🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Kasoro zote hizi unakutana nao wewe pekee????
 
Tumejaaliwa staha...maana ya neno Siri ni kubwa sana...kwamba mnanuka midomo,pumbu zimevunda...kwapa zinanuka...kibamia,kukojoa chap jogoo akapime...upungufu wa nguvu za kiume....hamjui kuandaa ....hamjui kupump AK.A kusugua k.Tena kuchezea chuchu ndo tunajikaza tu Kwa maumivu,mnafinya kama mnatudai...kumung'unya ndo kama mnakula ubuyu...mtatunyofoa vifua wenzenu...hatusemi tu Kwa kweli...na mnapojamba muwe mnakumbuka mlikula nn before makutano yetu,mnatutesa ....Afu kwani Lazima unapokojoa ujambe🙄
mmmmh Beesmom Hii ni uwongo bana😂😂😂😂 pumbu kuvunda, na kujamba kweli!!!? Wanaume tunalinda brand bana
 
Back
Top Bottom