Ni aibu gani uliwahi pata na hutokuja kuisahau?

Nimetoka zangu Tarime nikapata safari kidogo ya wilaya ya Mugumu huko ujombani kwao na mama.

Pale kwa Mjomba wao walikuwa wakiabudu siku ya jumamosi(Wasabato),sasa mwanaume kwakuwa na mimi nilikuwa mwanafamilia,nikajiandaa kuanzia siku ya ijumaa ili jumamosi na mimi nizame chachi kama kawaida,nakumbuka nilikuwaga na shati langu ambalo nililipenda sana lilikuwa jekundu na pia nilikuwa nina suruali nyeusi,kwa miaka ile ukipiga Suruali nyeusi na shati jekundu ulikuwa ukitoka chicha!.

Sasa siku ya ibada kama kawaida nikawa nimeamka nikachukua pasi ya mkaa nikanyoosha pamba zangu kisha nikawa nimevaa.Niliondoka kuelekea kanisani nikiwa nimewaka hatari,sasa nilipofika chachi nikakaa viti vya katikati,kumbe kuna kunguni kadhaa walikuwa wakinitembelea kwenye ile shati,nilishindwa kuelewa wale kunguni nilitoka nao kwa anko au niliwavagaa hapo hapo chachi!.

Kuna bwana mdogo mmoja alikuwa nyuma yangu si akaanza kumwambia maza ake aliyekuwa amekaa nae nyuma yangu tena kwa sauti kubwa ambayo ilifanya kila mtu kuniangalia.

Bwana mdogo "Mama ona kunguni"

Aliendelea "Mama kunguni hawa hapa"

Mwanaume nikageuka nyuma kuangalia nikadhani kuna mtu aliyekuwa nao,ile nageuka kutazama nyuma nakuta macho ya watu kibao waliokuwa nyuma yangu wakiwemo warembo wakiwa wananitazama,kujitazama mabegani na kwenye kola ya shati nakuta wadudu kadhaa wanatembea kwa madaha kama mimi ndiye ninaye wafuga!.

Aisee niliona aibu na dogo nae akawa anazidi kunizodoa kwamba nina kunguni.Nilipoondoka Mugumu sikuwahi kurudi hadi leo hii.

Niliamua kunyanyuka wakati ibada inaendelea nikatoka nje lakini nilikuwa naona watu wanacheka kinafiki,kiukweli ile hali ilinichukiza sana hadi kulichukia kanisa.

wale kunguni waliniaibisha sana siku hiyo.
 
Nilivyoona tu jina lako na aina ya kichwa...nikajua mwamba kadondosha CHUMA KINGINE...
 
Kipindi niko Seminar AICC muda wa msosi umefika ila Facilitator anaendelea na story nikaona miyeyusho nikatoa simu nikaingia gallery kufuta videos sijui nilikosea wapi Video ya Connection ikaanza kuplay na ilikuwa na sauti kubwa dah hali ya kupanic ilibid kuchomoa betrii ukumbi wote macho kwangu ikanilazimu kuzuga kama naenda toilent nilienda moja kwa moja hotelini kuchukua mizigo yangu na kusepa kabisa
🤣🤣🤣🤣 we jamaaa
 
Nilienda kujitambulisha kwao na demu wangu enzi hizo sasa baada ya chakula nikashikwa tumbo la kuharisha nilijizuia ilashindikana nikaomba kwenda toilet mbaya zaidi choo kiko uani halafu hapo mlango wa kuingia chooni wamekaa wamama na wadada wa hapo wanasukana sasa kuingia chooni nilipochuchumaa zikasikika sauti kama za radi halafu naharisha maji tupu utadhani yanamwagika
Mbaya zaidi ile natoka tu kufika ndani tumbo likaanza tena ilabidi nirudi tena chooni fasta nilienda kama tripu tatu mwisho nikaamua kupiga kambi humo humo chooni wakati huo huko nje wanacheka mpaka wanagaragara chini
Sintosahau ile aibu.
Ahahaaaaa usiombe itokee hii
 
Nilikuwa na boxer moja kauka nikuvae iliyotoboka,Kuna demu nilikuwa namfukuzia miezi kadhaa ,siku yake ilifika akakubali na kuniahidi siku ya kuja,badala ya kuwaza namna nitavyomfumua nikaanza kuwaza boxer yangu moja iliyotoboka,itakuwaje?,nikapambana nikanunua nyingine mpya ikawa inasubiri siku ya tukio asinione nikiwa na boxer kuu kuu,siku ya ahadi ilipofika akaja ,Mzee full shangwe full kujiamini si nimevaa boxer mpya,baada ya shughuli kumalizika nikashangaa badala ya kuchukua nguo zake avae akawa amechukua boxer yangu,na kuanza kubandua lebo,kumbe nilisahau kutoa lebo niliona aibu sana yaani demu keshajua sina boxer nimenunua mpya kwasababu ya ujio wake!!
 
Nimecheka sana walahi
 
Saa tano za usiku dame ananitext nimtoe out. Nami bila hiyana namwambia leo ngoja nikupeleke giraffe night club iko pale temeke.
Dame alivyosikia ni night club alitupia kinguo cha ajabu yaani ni ki top kilichofunika sehemu ya matiti huku kiuno kikiwa nje na umini flani wa net net kiasi cha kuonesha maungo yake.
Kwa vile ilikua usiku basi ilikua poa tu.
Baasi tulivyoselebreti pale tukawa hi ndipo tukaona boraa twendee gest badala ya kumrudisha home usiku ule.
Aibu kufika asubuhi sasa, daah noma sana. Tutatokaje humo ndani.
 
Mbona haichekeshi we unajichekesha tu.
Hapana mkuu, hizi haso kama ukuzipitia utaziona ni za kawaida sana. Lakini sie tuliotokea maisha ya namna hiyo tunafahamu fika

Niliwahi kuwa na demu majirani enzi hizo kijana. Yaani hata kwenda haja kubwa unaenda kimachale sana ili asikuone akajua nawe huwa unaenda haja

Yaani vururu vururu. Huwezi elewa
 
Wacha weeeeee, chai hii na utoto wako kama kawaida.
 
Wakati naaanza anza mambo. Nilikojoa mkojo mtamu sijawahi ona hata kabla dude haijaingia vizuri! Yaani hata kupamp bado! Halafu mbegu zilikua nyingi kinoma noma na Ngoma ikagoma kusimama ! We hiyo aibu yake acha mtoto wa watu anabaki kuchekacheka Kwa woga siku hiyo hata dalili hakuna. Nikarudi home kinyonge! Kufika home nimejilaza ng'e akaningata mule mle!
 
Mombasa kenya Likoni Beach resort tupo kwenye Hotel ya kitalii nikaletewa kitabu cha MENU kipo kama Biblia wazungu wamejaa pomoni mswahili nipo kati nikamwambia muhudumu kwa kiswahili naomba chips kuku jamaa akasema poa, aibu ilikuja kwenye kuletewa bakuli ya silver nzuri kweli ina maji meupee ndani yake kidume nikamaliza kula nikayanywa yale maji aisee! Nilitaka kuyatema nikaona aibu kumbe nilikunywa ndimu chungu htr yalipita kooni kwa tabu sana wazungu waliniangalia mimi ile aibu nikaondoka chap
Wewe Ni mjinga wa mwisho kwanini kitu kama huelewi usiulize Kwanza?kwani ungeuliza na kupata maelekezo ungepungua Nini?ona sasa ulikunywa limao 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom