Ni agizo kila FM RADIO STATIONS na kamali kwa kila kipindi ?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Imekuwa fashion Sasa kila kipindi cha redio ya FM lazima iwe na mchezo wa kamali kila mwisho wa kipindi ni kumtafuta aliyeshinda !

Hii ni kuigana , ubunifu mdogo au mkwamo wa maisha tu

Kipindi kina dk 60 ndani ya dk hizo 20 matangazo ya bishara 20 dk kuhamasisha kamali dk 20 ndio matangazo ya maana .

Soon watapotea kama magazeti yalivyopotea siku hizi na kukosa ushawishi

Watu wametumwa pesa ndugu. Hawapo kukufarisha wewe na mumeo
 
Imekuwa fashion Sasa kila kipindi cha redio ya FM lazima iwe na mchezo wa kamali kila mwisho wa kipindi ni kumtafuta aliyeshinda !

Hii ni kuigana , ubunifu mdogo au mkwamo wa maisha tu

Kipindi kina dk 60 ndani ya dk hizo 20 matangazo ya bishara 20 dk kuhamasisha kamali dk 20 ndio matangazo ya maana .

Soon watapotea kama magazeti yalivyopotea siku hizi na kukosa ushawishi

USSR
Hawawezi kupotea

Bila shaka wametafiti na kujua kuwa kundi kubwa la watanzania wanaamimi katika mambo ya kubahatisha na kupata pesa kimiujiza ujiza bila kufanya kazi.

Hivyo wao kama wafanyabiashara wameamua kutumia upungufu huo wa ufahamu wa watu kufanya biashara

Uwepo wa idadi kubwa ya makanisa ambayo wachungaji wake huchangisha pesa ili kuwaombea waumini wapate pesa, kazi au watumiwe pesa kwenye simu toka kwa watu wasiowajua ni ushahidi tosha wa uwepo wa wapumbavu wengi katika taifa
 
Back
Top Bottom